Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yeah but msimu huu wamepungua wengi kuliko mwaka jana, hesabu kuanzia dirisha dogo hadi sasa tumeuza wachezaji zaidi ya 7 or 8 out of 23 waliokuwepo kwenye squad ya EPL last season
Ni kweli tuna upungufu lakin ukicheki wengi hawawezi kupata namba kutokana na ushindani uliopo.

Ndo maana wameuzwa na wengine mkopo ..hata hivyo bado tutakuwa wazuri tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wachezaji kuwakataa pamoja na kucheza UCL kunaashiria nini? Yaani mchezaji anaona bora abaki Everton kuliko kuja darajani, kweli??? Yaani mchezaji anaona bora aende Loserpool kuliko kuja kwenu, kweli??? Hii sio ishara nzuri hata kidogo blauzi fans.
Hawajui kupambana kaogopa kukaaa benchi
 
Mbona kama unamzungumzia Torres vile?
Exactly , nilikuwa na prove point hapo juu kuwa kutoa pesa nyingi kununua mchezaji hakumaanishi hawezi kuwa flop/ garasa .. Kila timu kubwa hapo epl imeshawahi kununua wachezaji kwa pesa nyingi na wakishia kuwa magarasa tu, kwa hiyo chelsea kutaka kutoa pesa nyingi kumnunua OX au Barkley hakuna maana wasingeweza kuwa magarasa. Hivi ukimkosa kumsajili OX au huyo Barkley unajutia kweli !!! Wangeongeza ukubwa wa benchi la substitutions ila sio quality ya kikosi tulichonacho sasa
 
Kiukweli tumelamba dume kwa hawa wanaume wawili zapoacosta na drinkwater
Ni wanaume wa kazi kweli kweli
Yaani ni hatari sana kuna watu watalala benchi wasipojiongeza wenyewe

Acha unafiki Zappacosta umemjua jana, kwa Drinkwater kweli mmelamba dume. Akisimama na Kante halafu mbele kukawa na Fab mtatisha sana.
Hile combo yao na Kante inarudi tena.
 
Wachezaji kuwakataa pamoja na kucheza UCL kunaashiria nini? Yaani mchezaji anaona bora abaki Everton kuliko kuja darajani, kweli??? Yaani mchezaji anaona bora aende Loserpool kuliko kuja kwenu, kweli??? Hii sio ishara nzuri hata kidogo blauzi fans.

Wachezaji wanaangalia je watacheza?, mchezaji anaweza kuwa kwenye first eleven kwenye timu moja lakini akienda timu nyingine anakaa benchi, so hawataki hicho kitu
 
Ni kama zile mbichi za Depay, mbichi za vile acha zitupite tu ... Sio kutoa pesa nyingi halafu mchezaji anakuja kuruka ruka msimu mmoja huku mnajilamu tulimnunua wa nini

Sisi watu wa Chelsea ndio tunajua hayo, hao wengine ni mashabiki wa juzijuzi tu, nina historia ya kutoa pesa nyingi kwa Magarasa, bora kikombe cha OX kimetupita
 
Mwoga kupambana
Mwonyeshe kocha kuwa unaweza mazoezini na uwanjani kwenye match atakupa nafasi tu
We unafikiri cahill ana namba tena mbele ya rudiger?

Kwanini namba asiwe nayo? Huu msimu mnaweza kucheza mechi 65 kama mtafika fainali ya UEFA na FA na EFL. Usishangae ikafika kipindi mkatumia madogo wa academy. Mechi ziko nyingi na majeraha ni nje nje.
 
Tumesajili wachezaji sita mpk sasa. .nadhani wanatosha kabisa.

Tofauti na msimu ulopita tulisajili watatu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo langu mm pale namba 9 tu, yaani tuna Morata na Batshuayi , unaweza kuona hapo hakuko sawa kidogo.. Unless costa au conte mmoja wapo amaeze pride yake ili Costa arudi kikosini namba 9 ndio itakayokuwa point of weakness yetu msimu huu, ila mabeki tumeimarika zaidi, viungo wote tumeimarika zaidi ya msimu uliopita.
 
Sijui mnakiona ninachokiona mimi. ila mtakiona katika michezo ijayo. Kama Drinkwater akipona na akawa fiti 100% basi Chelsea eneo la katikati litakuwa kama eneo la ufalme..... Muunganiko wa wanadamu hawa sina shaka na aina ya uchezaji wao, shaka yangu ni namna Bakayoko atakavyotakiwa kutumia nguvu kubwa kuvunja muunganiko huu.... Wamecheza pamoja Msimu mzima, wametesa viungo wa upinzani pamoja, wameshinda pamoja, wamechukua ubingwa pamoja na sasa wamerudiana na kuamua kucheza pamoja...

Bakayoko ni bora sana kuliko Dany Drinkwater ila muunganiko wa Kante na Drinkwater ni muunganiko matata sana kuliko wa Kante na Bakayoko.... Kama Conte ataruhusu muungano basi kazi kubwa ya sifa itakuwepo, ila kama hata ruhusa muungano basi kazi ndogo ya matusi itakuwepo.....
66d83d7f2f7ba44dd68fb476e0bb2c56.jpg
Nimeliona hili mkuu ila kuna match bakayoko atakuwa wa muhimu na kuna mechi drinkwater atahitajika ila wote watatu yaani kante.bakayoko na drinkwater wanaweza kucheza pamoja
Uzuri wa drink na bakayoko ni wafungaji wazuri pia tena hasa drinkwater akiwa nje ya kumi na nane muogope sana anafumua sio mchezo

Mi naamini kuna zile match ngumu tutakuwa tunawahitaji kante, bakayoko,na drinkwater kwa pamoja

Moses pia naona akipoteza namba kwa zappacosta huyu mwanaume dimbani sio wa kawaida anapanda na kushuka bonge moja la beki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom