RYAN HIGH ... Ryan Talyor celebrates his strike
Ryan Taylor celebrates his free-kick strike against Chelsea.
Chelsick kushinda kwenyewe wameanza juzi juzi tu, last match waliwekwa kolokoloni na New Castle
Leo Man City khe khe kheeeeeeeeeeeeee, Mafia team si lolote si chochote ni pensioners tu wanashinda kwa mpunga khe khe kheeee
Samahani mkuuDuh mjomba mie sio mshabiki wa rentboys nitake radhi.
Haya next week Masanilo VS Wacha
Wote mlipewa dozi sasa tuone nani kibonde zaidiWBA waliharibu party!
Wacha1, unavaa shati size gani na kichwa ni size gani?
Haya next week Masanilo VS Wacha
Wajitahidi tu wamalize matanga naona wanaongoza kwa goli la JT Chelsick 1 - 0 Marseille