eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Tukutane decemberYan chesshit kwakujifariji
Kwamchezo ule kama majimaji fc nakuapia amna chenu hata big4 hampo
Mark my words
Sent using Jamii Forums mobile app
Tukutane decemberYan chesshit kwakujifariji
Kwamchezo ule kama majimaji fc nakuapia amna chenu hata big4 hampo
Mark my words
Sent using Jamii Forums mobile app


Basi yeyote atakuwa Sub...Ni kweli kabisa mkuu sikatai
Kushinda nne mechi mbili kumewapa kiburi sana..Heheheee... Katika mashabiki wa mpira wanaojua kununa nuna, bac ni mashabiki wa darajani, yaani wao wanahic daraja wakati wowote linabomoka. Ss leo wameshinda wanaanza kutaja man utd tutamfanya hivi cjui vile, wakati c jana matokeo kama haya tulifurahi kishingo upande
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa namuelewa sana,Huyu jamaa.tumpe muda tu.atatufanyia mazuri.alaf ana heshima sana.
Sent using Jamii Forums mobile app




sawa mkuu. Ila toka tupo pre-season na sasa Willian anaonekana yupo more clinical kuliko Pedro. Ndio maana nasema tutakuwa tukimuona Willian zaidiChelsea haipambani kwa ajili ya big Four,Yan chesshit kwakujifariji
Kwamchezo ule kama majimaji fc nakuapia amna chenu hata big4 hampo
Mark my words
Sent using Jamii Forums mobile app
Nafikiri majeraha aliyopata yanamfanya kucheza chini ya kiwango bado hayupo sawa.sawa mkuu. Ila toka tupo pre-season na sasa Willian anaonekana yupo more clinical kuliko Pedro. Ndio maana nasema tutakuwa tukimuona Willian zaidi
Man U wanajisikia vibaya wanapoona chelsea inavyopanda kwa kasi. Hakuna timu ya kuizuia chelsea this season.Tukishinda mechi tatu akuna uchafu utakao tusumbua tena man u umetushikia nafasi yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa Mkuu,sawa mkuu. Ila toka tupo pre-season na sasa Willian anaonekana yupo more clinical kuliko Pedro. Ndio maana nasema tutakuwa tukimuona Willian zaidi
Hana zile rafu za ajabu ajabu.Huyu jamaa.tumpe muda tu.atatufanyia mazuri.alaf ana heshima sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dude limechokozwa Mkuu, wacha lije kwa kasi..Man U wanajisikia vibaya wanapoona chelsea inavyopanda kwa kasi. Hakuna timu ya kuizuia chelsea this season.
Sent using Jamii Forums mobile app
Heheheee... Katika mashabiki wa mpira wanaojua kununa nuna, bac ni mashabiki wa darajani, yaani wao wanahic daraja wakati wowote linabomoka. Ss leo wameshinda wanaanza kutaja man utd tutamfanya hivi cjui vile, wakati c jana matokeo kama haya tulifurahi kishingo upande
Sent using Jamii Forums mobile app



. Siyo kwamba ndo uwezo wenu ulipoishia. Tuone kama kunatimu mtafunga goli 4 tena. Ila mnaumia mnapoona vijana wa Conte wanavyokuja spiidi. Timu ya chelsea ndiyo timu pekee inawanyima usingizi makocha wa uingereza na mashabiki wa timu pinzani duniani. Kama Uamini bisha na evidences hapa.
Kwanza roho zinawauma sanaMan U wanajisikia vibaya wanapoona chelsea inavyopanda kwa kasi. Hakuna timu ya kuizuia chelsea this season.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna sehemu gani niliyokwambia sisi ni mabingwa...?
Sana sana huwa wana muogopa Antonio Conte kutokana na mbinu zake jinsi zilivyo.. Siyo kwamba ndo uwezo wenu ulipoishia. Tuone kama kunatimu mtafunga goli 4 tena. Ila mnaumia mnapoona vijana wa Conte wanavyokuja spiidi. Timu ya chelsea ndiyo timu pekee inawanyima usingizi makocha wa uingereza na mashabiki wa timu pinzani duniani. Kama Uamini bisha na evidences hapa.
Sent using Jamii Forums mobile app