mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 45,751
- 55,793
Nina wasiwasi kama umeangalia mpira.OYA NYIE MMEONA LIVERPOOL WANAVYOPIGA MPIRA SIO CC TUNALUKALUKA TU NAKI TIMU KAMA EVERTON
Sent using Jamii Forums mobile app
Yan chesshit kwakujifariji
Kwamchezo ule kama majimaji fc nakuapia amna chenu hata big4 hampo
Mark my words
Sent using Jamii Forums mobile app
OYA NYIE MMEONA LIVERPOOL WANAVYOPIGA MPIRA SIO CC TUNALUKALUKA TU NAKI TIMU KAMA EVERTON
Sent using Jamii Forums mobile app






Wacha wapigwe tu hamna namna
Kwa taarifa yako,Heheheee... Katika mashabiki wa mpira wanaojua kununa nuna, bac ni mashabiki wa darajani, yaani wao wanahic daraja wakati wowote linabomoka. Ss leo wameshinda wanaanza kutaja man utd tutamfanya hivi cjui vile, wakati c jana matokeo kama haya tulifurahi kishingo upande
Sent using Jamii Forums mobile app
We lazima tukuzibue ujiandae tuHeheheee... Katika mashabiki wa mpira wanaojua kununa nuna, bac ni mashabiki wa darajani, yaani wao wanahic daraja wakati wowote linabomoka. Ss leo wameshinda wanaanza kutaja man utd tutamfanya hivi cjui vile, wakati c jana matokeo kama haya tulifurahi kishingo upande
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo hakuwa fitiHazard akirudi Pedro naona atakuwa anaanzia benchi tu
Kila game ina plan yake mkuuHazard akirudi Pedro naona atakuwa anaanzia benchi tu
Asante
Huyu jamaa.tumpe muda tu.atatufanyia mazuri.alaf ana heshima sana.
Wenger out
hizi ni ngonjera za mashabiki wa arsenal

Ni kweli kabisa mkuu sikatai
Chini ya Antonio Conte akuna kisicho shindikana, Dude limeshaamshwa mwendo kunyoa tuuTukishinda mechi tatu akuna uchafu utakao tusumbua tena man u umetushikia nafasi yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenger out![]()
![]()
hizi ni ngonjera za mashabiki wa arsenal
Ila mzee kashasema hasajili na bado yupo yupo sana tu![]()
![]()
![]()