Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 15,930
- 27,184
Inshaallah..Huyu Morata atafikisha magoli 30 msimu huu...
Inshaallah..Huyu Morata atafikisha magoli 30 msimu huu...
Niliacha kuangalia hii mechi mbovu kabisa...nilikuwa naangali F1.Sawa mzee. Na ushindwe na ulegee. Ikiwezekana utokomoee kunakojulikana.
Si ndio mpaka muwapige. Kila mtu anakuja na game plan yake.Niliacha kuangalia hii mechi mbovu kabisa...nilikuwa naangali F1.
Hawa Everton kwa mpira huu tutawapiga 8-0!
Aisee umebashiri vyema!Nakuhakikishia Everton Anapigwa si chini ya goli 2
Niliwahi kusema sina wasiwasi na morataaaMorata anazidi kuja tuu. Mdogo mdogo ana improve
Ni kweli mkuu. Hata kwangu niliweka akiba ya maneno kuhusu MorataNiliwahi kusema sina wasiwasi na morataaa
Ni bonge la striker
Benchi litamuhusu sana
Na atawafunga midomo wengi waliokua wanamponda.Niliwahi kusema sina wasiwasi na morataaa
Ni bonge la striker
Mkuu Conte alisema mjaji Morata mwisho wa msimu sio sasa. Kuwa mpole utaona tuNiliwahi kusema sina wasiwasi na morataaa
Ni bonge la striker
Na yeye ajiaminii
Assist ya kichwa nimeiona tena leo kwenda kwa fabrigas kutoka kwa morataMkuu Conte alisema mjaji Morata mwisho wa msimu sio sasa. Kuwa mpole utaona tu