Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yani kila chelsea ikichukua ubingwa wa epl basi msimu unaofuata tunazembea kwenye usajili. Conte amesema anataka wachezaji wengine 4 ili aongeze nguvu kwenye kikosi. Msimu uliopita chelsea ilitumia wachezaji 13 tu kwenye msimu mzima, msimu huu tuna mashindano mengi hivyo itakua ngumu kwa wachezaji tulio nao.

Nadhani umefika wakati sasa mmiliki atafute kocha anayeweza kutumia wachezaji vijana maana chelsea academy na scouting team inafanya kazi nzuri ya kuleta vijana ila timu kubwa hawapewi nafasi. Nawaangalia tammy abraham, loftus-cheek, ake na chalobah kwa umakini msimu huu kisha utagundua jinsi tulivyozembea.

Kwa siku chache zilizobaki nadhani wajitahidi kuongeza angalau mchezaji mmoja kila nafasi ili mambo yawe msawazo. Win,loose aor tie chelsea till i die. Blueblood.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wachezaji gani wa Academy kwenye timu zingine wamepewa nafasi? EPL ukijiloga kutegemea academy utaumia asubuhi tu Msidanganywe na kina Wenger
 
CHELSEA Vs EVERTON - EPL
d0428120c20f64592640aad8180d1a7c.jpg

Substitutes v Everton - Caballero, Christensen, Tomori, Bakayoko, Kenedy, Musonda, Batshuayi

Uwepo wa Cesc ni Ubora wa Morata
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom