Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea fans laud Bakayoko after Tottenham Hotspur performance

According to them, he shone and showed just why they were willing to allow Nemanja Matic to leave for Manchester United. In fact, the majority of them were happy about that – and were wondering just what their upgraded version could do if he was fully fit and acclimatised to the Premier League.

Na wewe, ukiwa shabiki wa Chelsea unaonaje performance ya Bakayoko jana?? Mimi hili jembe nalikubali sana, Akiwa 100% fit pale katikati akiungana na mkata umeme wetu mkakonde Ngolo basi ubigwa watausikia kwa jirani tu. Hazard tunamsuburi wa hamu arudi ili amlishe striker wetu mpya Morata.
 
Ki Mpira Hawajakosea Mkuu Spurs Alitakiwa Kushinda Kila Kitu Walikua Nacho Ila Chalsea Kapata Matokeo Tu Hata Wewe Unajua Nani Kaupiga Mwingi Ukiangalia Ball Possetion
Ball possession ingekua ishu tungesajili wakina inesta na xavi timu nzima ......... ile game ilipangwa ichezwe vile, acha kulia lia mtoto w kiume.
 
Kuwa Mtu Wa Mpira Ukiandika Jina Vibaya La Timu Brand Inashuka? Sionag Mantik Ya Kuandika Eti Chelshit Inasaidia Nini? Haya Mambo Yapo Facebook Wenzio Tunaandika Chelsea Tena Vizur Tu Kiroho Safi Kama Club Cha Mpira Kuwa Broo Mpira Mchezo Wa Furaha

Kwa Kukusaidia Hatukufungwa Tukiwa Na Hizo Possession Ulizoandika Tulifungwa Mech Ya Chelsea,man City,watford,arsenal Na Spurs Fuatilia Tuliongoza Possetion?
mtu na team yake ya man u utamjua tu
 
5e2491cca63a8cec6d72aeff1d7faa4b.jpg
Hamna wachambuzi pale
 
Jana niliona conte akitumia mfumo mpya wa 3-5-2 huyu kocha ni sheeda

Team zitaanza kuiga muda sio mrefu
Mfumo huu unapunguza uwezekano wa kufungua nyuma na kuachia kama wenzetu Arsenal. Chelsea walikwenda mbele kwa kushtukiza na kujilinda zaidi huko Alonso na Moses wakifanya kazi kubwa mno kwenye pembe. Kazi kubwa ilikuwa kwa wale striker 2 (Morata akisaidiana na William) dk ya 72 walikuwa hoi sababu ya kukumbia km nyingi.

Hata hivyo ni mfumo mzuri hasa kama timu haiko sawa (Majeruhi) na still umepoteza games mbili mfululizo - ni lazima utafute mbinu ili ushinde na kurudisha confidence kwa wachezaji. Mfumo huu alijaribiwa Man U - ila haukumbakisha mtu salama.

Conte is the right man for Chelsea for sure.
 
Ball possession ingekua ishu tungesajili wakina inesta na xavi timu nzima ......... ile game ilipangwa ichezwe vile, acha kulia lia mtoto w kiume.

Wakina Xavi Na Iniesta Unafikir Ni Sawa Na Kumnunua Bakayoko Cha Kusikitisha Na Kushangaza Kwa Umr Ulionao Humjui Mtu Anaelia Lia Soma Upya Halaf Jiangalie Na Ulichoandika Jadili Mpira
 
Mkuu mechi nimeangalia, Hamorata nimemuona dk 10 kabla ya kuwa subbed, sasa ukiniambia alianza sikuelewi maana mfano kipindi chote cha kwanza sijamuona kabisa.
Acha uongo mkbwa ww dakk kama skosei ya 5 kakosa free header napo hjamwona
 
Tatizo mnaniboa kwa kuchonga sana mdomo

Eden Sio Mdomo Unajua Watu Hawaelew Kwa Mfano Wewe Umebeba Ndoo 6 Yule 20 Sasa Hiyo Miaka Yote Nani Alikuwa Anaonekana? Nafikir Hata Wewe Lazima Utakosa Cha Kuongea Tu Hapo Mmoja Kammeza Mwingine Upande Wenye Nguv Huwa Na Saut Hakuna Shabik Asie Chonga Hata Wewe Baada Ya Kushinda Ukaanza Kuitafuta Manchester Umeamini Kikosi Chako Unaona Kina Nguvu Je Na Wewe Una Mdomo? Mpira Ni Mchezo Wa Kutambiana Bila Majigambo Mpira Ungepooza Tu
 
Mfumo huu unapunguza uwezekano wa kufungua nyuma na kuachia kama wenzetu Arsenal. Chelsea walikwenda mbele kwa kushtukiza na kujilinda zaidi huko Alonso na Moses wakifanya kazi kubwa mno kwenye pembe. Kazi kubwa ilikuwa kwa wale striker 2 (Morata akisaidiana na William) dk ya 72 walikuwa hoi sababu ya kukumbia km nyingi.

Hata hivyo ni mfumo mzuri hasa kama timu haiko sawa (Majeruhi) na still umepoteza games mbili mfululizo - ni lazima utafute mbinu ili ushinde na kurudisha confidence kwa wachezaji. Mfumo huu alijaribiwa Man U - ila haukumbakisha mtu salama.

Conte is the right man for Chelsea for sure.
Mkuu juzi nilipokuwa nacheki mpira wa arsenal. Mashabiki walikuwa wakisema conte ni mpuzi sana kumuuza Nemanja Matic. Then wakaendelea mbele kwa kusema atafukuzwa kabla ya september. Na kesho (Jana ) chelsea afungwa 3 mapema na Spurs. Mim nikawajibu kistarabu tu kuwa conte hajamuuza Nemanja. Ameuzwa na bodi...!!! Pia nikasema kesho (Jana) chelsea anashinda kidogo nimezwe baadae nikawambia tuangalieni mpira kila mmoja apamabane na hali yake.
My take: huwa najiuliza kwann timu ya chelsea inaongelewa na kupondwa sana?
Nilichogundua: Chelsea ndo timu pekee inayowanyima usingizi vigogo wa Epl kuanzia kwa makocha adi mashabiki....!
wanaponda mwisho wa siku wanaondoka na aibu...#comeonechelseailovemyteam#

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakina Xavi Na Iniesta Unafikir Ni Sawa Na Kumnunua Bakayoko Cha Kusikitisha Na Kushangaza Kwa Umr Ulionao Humjui Mtu Anaelia Lia Soma Upya Halaf Jiangalie Na Ulichoandika Jadili Mpira
We ndio unatakiwa ujadili mpira si unalialia kama mtoto wa kike,utapandwa shauri yako! ......... halafu usiwe mgumu kuelewa, nimemaanisha kama mpira ungekua ball possession timu nzima kuanzia kipa tungenunua mapass master, kama fab. We huyo bakayoko ndio aliemkimbiza matic.
 
Kuna Post Yako Kule Nyuma Umemjibu Jamaa Kwa Maneno Ya Mipasho As If Unashinda Na Madada Zako Tumia Lugha Nzur Pia Kuwa Na Busara Haina Haja Ya Kuzalilishana Bahat Nzur Yule Jamaa Kakupuuza Lugha Za Kipuuz Hazina Mantik Kwa Mtu Mwenye Akili Timamu Labda Uwe Mvuta Bangi Angalia Jukwaa Lote Halina Lugha Za Hovyo Bado Narudia Unaweza Kuonesha Post Niliolialia Na Iwe Hivyo Kwa Nini
Hata Mess Kamkimbiza Neymar Au Conte Anailalamika Bodi Mtanzania Unasema Bakayoko Kamkimbiza Matic Hii Mpya Huyo Cesc Wenger Si Alipewa Nafas Ya Kwanza Kumchukua Alimkataa Chelsea Kawa Lulu Mpira Ndivyo Ulivyo
 
Yeaaaaaaaah.... This is Chelsea"
Luiz, Azpilicueta, Rudiger, Moses, Alonso, Christensen, Kante, Bakayoko hawa wanadamu laiti kama wangechoka kama Willian na Morata basi nadhani hadithi zingekuwa nyingine. Kuna wakati Tottenham Hotspur walikuwa hawajui chakufanya japo mpira ulikuwa chini ya miguu yao.

Chelsea walikaa kwenye njia zote za mipira ya Tottenham Hotspur, waliamua kuwafanya Spurs wacheze tu mpira mbele ya eneo la hatari la Chelsea bila mafanikio yeyote(hii tunaiita mbinu vitani).... Kuna wakati kila mtu alitamani Spurs acheze kama walivyocheza, ila kuna wakati watu walichukizwa na namna Chelsea walivyocheza na kumaliza mchezo.... Raha ya mpira huu ni swahiba aliyeshangilia ushindi wa Chelsea, huku akiwatusi Chelsea pia kwa kuchana mkeka wake (hii tunaiita chagua moja).

Chelsea walikuwa bora zaidi ya Spurs kimbinu, walifanya pressing kuanzia katikati ya uwanja, wakaziba mianya yote ya mpira na kuwafanya Spurs kupiga back pass nyingi ambazo zilikuwa hazina faida.... Alichokikosa Spurs ni Dembele mwingine ukiachia Yule wa kwanza, kwamaana ukiachia Dembele hakukuwa na mtu mwingine aliyekuwa anatembea na mipira kwa upande wa Spurs, ila viumbe hawaaaa kante na Willian hawa walikimbia na mpira mara nyingi zaidi na walikuwa wanaweza kuwakimbiza walinzi wa Spurs mara nyingi zaidi walipohitajika kukimbia.

Kuanza na watu 6 wenye kaliba ya ukabaji ilikuwa sehemu ya kwanza ya ushindi kwa Conte wetu. Spurs wameondoka na possession zao ila Chelsea wameondoka na alama zao 3. Njia rahisi ya kupigana vita ni mbinu... Master tactician Anthony Conte.

Miguu ya Marcos Alonso imeokoa sura ya Batshuay kwa siku ya jana..... Kidogo tu ingegeuka, na hii ingekuwa zamu ya Morata kumcheka Batshuay
Mnajisifu kupack bas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Similar Discussions

Back
Top Bottom