Chelsea 10 - 1 New Castle ... ...... .....
More to come...... Padri bandia upo au umekuwa Invisible? Vipi Mungiki brother atatokea leo au basi ndio msiba umeingia? Au basi yaishe hili ni kombe la mbuzi ... .... but at what cost?
Ten men Chelsea are out, set peace hiyo
4-3
Haya mchungaji!! Hilo mnalo hilo!!
Man City nao wamefungashwa...kombe limeshachanganya kwenye raundi ya mwanzo kabisa hili!! cup upsets!!!!
....eehhhh??? eti nini???
Kombe la mbuzi hili watu watoana macho
Mchungaji Masa na convoy lote la darajani, poleni sana. Ndo mpira huo
CARLO ANCELOTTI'S Chelsea suffered a double injury blow as Shola Ameobi KO'd their Carling Cup hopes.
Salomon Kalou, on as a half-time sub, was carried off clutching his hamstring on 54 minutes.
And he was followed to the treatment room nine minutes later by Yossi Benayoun who seemed to have a groin problem. Both are serious doubts for the Premier League clash at Manchester City on Saturday. Boss Carlo Ancelotti said: "I don't think Kalou will be available for the next few games. Benayoun also has a massive problem. Both need more time to rest."
It's all about giving Fat Arse a chance of winning at least something this season.......ooh wait, Manure are still in it, bad news for Fat Arse Chavettes.
  
WAY TO SHO ... Ameobi celebrates
Sizitaki mbichi hizi.
Sio case ya sizitaki mbichi, tumefungwa na tumetolewa kwenye Carling cup fairly. Hatujawahi kudharau kombe lolote ndio maana tunaweka timu inayoeleweka uwanjani. Hiyo ya "sizitaki mbichi hizi" ni excuse ya Arsenal miaka yote kwenye Carling cup ndio maana walikuwa wanachezesha watoto ili hata wakifungwa wanasema hawalitaki kombe, lakini mwaka huu Wenger kagundua Carling is the best and the only chance ya Arsenal kupata silverware ndio maana kapanga timu ya kwanza against Spurs. It's the best chance kwa Arsenal kwa sababu timu kubwa zote (Chelsea, Liverpool, Man City, Spurs na Everton) zimetoka, hivyo naweza kusema Arsenal ni second favourites after Man United....kazi kwenu....mkiacha kulialia na kucheza mpira mnaweza kuwa mabingwa wa Carling cup mwaka huu, a silverware after six years, come on Farty Arse, hahaha!!:smile-big:ha ha ha! Peasant hebu msome Wacha1 hapa chini...
Sio case ya sizitaki mbichi, tumefungwa na tumetolewa kwenye Carling cup fairly. Hatujawahi kudharau kombe lolote ndio maana tunaweka timu inayoeleweka uwanjani. Hiyo ya "sizitaki mbichi hizi" ni excuse ya Arsenal miaka yote kwenye Carling cup ndio maana walikuwa wanachezesha watoto ili hata wakifungwa wanasema hawalitaki kombe, lakini mwaka huu Wenger kagundua Carling is the best and the only chance ya Arsenal kupata silverware ndio maana kapanga timu ya kwanza against Spurs. It's the best chance kwa Arsenal kwa sababu timu kubwa zote (Chelsea, Liverpool, Man City, Spurs na Everton) zimetoka, hivyo naweza kusema Arsenal ni second favourite after Man United....kazi kwenu....mkiacha kulialia na kucheza mpira mnaweza kuwa mabingwa wa Carling cup mwaka huu, a silverware after six years, come on Farty Arse, hahaha!!:smile-big:
...haya bana, mtutakie na mafanikio mema basi.
Ndio hivyo tena, tushawapa shavu kazi kwenu. Mkishindwa tunawatuma West Ham warudishe kombe mjini.
Watch this space! Arsenal are taking over now and apart from ManCity I can't see anyone to stop us now for at least 5 more years to come! Ukweli unabaki kwamba Premier League hela imekauka na soon kutakuwa na level playing field, Arsene kama mchumi aliona mbali juu ya mustakbali mzima wa premier league na ndio aliweka mikakati ya spend within the limit and develop instead of buying, na ndio ukaona Arsenal wana quality production line kushinda timu yoyote ile kwa Europe seuze England. Ukiachilia Man City timu zote zilizobakia choka mbaya.Sio case ya sizitaki mbichi, tumefungwa na tumetolewa kwenye Carling cup fairly. Hatujawahi kudharau kombe lolote ndio maana tunaweka timu inayoeleweka uwanjani. Hiyo ya "sizitaki mbichi hizi" ni excuse ya Arsenal miaka yote kwenye Carling cup ndio maana walikuwa wanachezesha watoto ili hata wakifungwa wanasema hawalitaki kombe, lakini mwaka huu Wenger kagundua Carling is the best and the only chance ya Arsenal kupata silverware ndio maana kapanga timu ya kwanza against Spurs. It's the best chance kwa Arsenal kwa sababu timu kubwa zote (Chelsea, Liverpool, Man City, Spurs na Everton) zimetoka, hivyo naweza kusema Arsenal ni second favourite after Man United....kazi kwenu....mkiacha kulialia na kucheza mpira mnaweza kuwa mabingwa wa Carling cup mwaka huu, a silverware after six years, come on Farty Arse, hahaha!!:smile-big:
Wazee wa Darajani, style ya Carlo Ancelotti kutaja kikosi cha mauaji one day before mnaionaje? maana kaianza ktk mechi za hivi karibuni.
Angalia wazee wa kuiua MAN CITY aliowataja jana ni hawa hapa.
Petr Cech, Branislav Ivanovic, Alex, John Terry, Ashley Cole, Michael Essien, John Mikel Obi, Ramires, Nicolas Anelka, Didier Drogba and Florent
KUNA SWALI LOLOTE TOKA KWA WATANI ZETU?
Wakwere wa Chelsick wameunyuti khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
Wamebaki kuchungulia tu hawana imani na timu yao ya vikomgwe..
Kuwa na heshima dogo!
Leo tumezidiwa. Terry ni mchovu!
Leo tumezidiwa. Terry ni mchovu!