dimaa
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 4,304
- 5,833
Time starts now, what is ahead is just a future.MKuu, time will tell.
Time starts now, what is ahead is just a future.
Wing back ni tofauti kabisa na full back. Unaowaita central midfield ndo hao full back
Sent using Jamii Forums mobile app
No wonder unashabikia rent boys.Kwani Ronaldo siyo world class player? Mbona mechi na man alianza benchi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nilikosea siyo full back ila ni centre back. Nilikuwa sijakuelewa bado. So kwenye timu yetu Chelsea Luiz, Cahill na Azipillicueta ni Centre back/centre half/central defenders.So tell me Cahill and Luiz are they wingbacks / full backs? Those are Central defenders unless you want to tell me something new.
The difference between fullbacks and wingbacks. Normally full fullbacks they don't supposed to cross half way line too often, they just pass the the ball to others attacking players.
Wing back act as wingers and defenders at the same time. They are supposed to defend when their team is defending and they are allowed to go to up the pitch and attack when their team is attacking up to the byline of the other side of the pitch. Roberto Moses, Alonso, Roberto Carlos, Philipp Lahm, David Alaba and Dani Alvarez are good example of that.
If they go further up the pitch, Defensive Central midfielders are supposed to slot in and cover their position. And any good defensive midfielders like Kante and Matic are supposed to cover their position until they get back to their position. This is what Chelsea did last year and why they were so effective last season. There were no gaps defensive or when attacking.
Mkuu nilikosea siyo full back ila ni centre back. Nilikuwa sijakuelewa bado. So kwenye timu yetu Chelsea Luiz, Cahill na Azipillicueta ni Centre back/centre half/central defenders.
Na kwa maana hiyo Moses na Alonso ndo Full back.
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kuotaAsikwambie mtu Chelsea ya mwaka huu itakuwa hatari zaidi kuliko ya mwaka jana. Sote tunakumbuka kuwa Chelsea ilikuwa na kikosi bora kuliko timu nyingine yoyote ya EPL. Hata katika PFA premier league team of the year Chelsea ilikuwa na wachezaji 4 ambao ni Luiz, Cahill, Kante na Hazard na wotehawajauzwa, wamebaki kwenye timu.
Timu pekee iliyoingiza wachezaji wengi nyuma ya Chelsea ni Tottenham iliyoingiza wachezaji 3; Kayle Walker, Dan Rose na Harry Kane.
Timu nyingine zilizobaki ziliingiza atmost mchezaji mmoja mmoja. Man U waliingiza goalkeeper De Gea, Liverpool Sedio Mane, Everton Lukaku na Arsenal hawakuweza kumwingiza mtu yoyote.
Kwa hapo juu inaonekana Tottenham ndo ina wechezaji wengi walioingia katika PFA team nyuma ya Chelsea..
Lakini ikumbukwe pia Kayle Walker tayari ashauzwa Man City na Dany Rose anawindwa sana na Chelsea. Kwa hiyo katika ile list wanapunguza idadi ya wachezaji na ikumbuke kuwa Tottenham haijanunua wachezaji wapya msimu huu.
Sasa unaweza kuanza kupata picha kwa nini nasema Chelsea itakuwa timu tishio zaidi.
Chelsea imemuuza Matic na kumnunua Bakayoko ambaye kiwango chake ni kizuri zaidi. Diego Costa naye ni surplus to requirement na Morata amekuja kuziba pengo lake na naamini muda si mrefu mashabiki wa Chelsea wataacha kum-miss Diego Costa. Lakini pia imeingeza makali ya safu ya ulinzi kwa kumnunua Antonio Ludiger.
Wengine waliouzwa walikuwa reserve ya timu ambao wengi wao ni vijana wadogo ambao wameondoka kwa mkopo kwenye club nyingine ili waive zaidi.
Chelsea haijaishia hapo ila tajiri Abramovic atatoa about £130, 000,000 (£ 130 million) kwa ajili ya kuimarisha kikosi na wachezaji walio katika rada ya Chelsea ni Van Dijk ambaye Chelsea iko tayari kutoa £50M/Dan Rose, Ox Chambalein, Dan Drinkwater na wengineo.
Hivyo waweza kuona jinsi Chelsea itakavyokuwa timu hatari zaidi katika msimu huu kuliko msimu uliopita.
Chelsea lazima ifanye maajabu msimu huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi unapoongea kwa kutamba ivyo na bado game 37 sijui labda wewe unajifikiriaje.? Jitathimini kuna ngwe ya kwanza na ya pili. Nyie tushikieni nafasi tuHahahaaaa
Man of the Match AutoMATIC is Red
Mtajuta mwaka huu na bado.
Asikwambie mtu Chelsea ya mwaka huu itakuwa hatari zaidi kuliko ya mwaka jana. Sote tunakumbuka kuwa Chelsea ilikuwa na kikosi bora kuliko timu nyingine yoyote ya EPL. Hata katika PFA premier league team of the year Chelsea ilikuwa na wachezaji 4 ambao ni Luiz, Cahill, Kante na Hazard na wotehawajauzwa, wamebaki kwenye timu.
Timu pekee iliyoingiza wachezaji wengi nyuma ya Chelsea ni Tottenham iliyoingiza wachezaji 3; Kayle Walker, Dan Rose na Harry Kane.
Timu nyingine zilizobaki ziliingiza atmost mchezaji mmoja mmoja. Man U waliingiza goalkeeper De Gea, Liverpool Sedio Mane, Everton Lukaku na Arsenal hawakuweza kumwingiza mtu yoyote.
Kwa hapo juu inaonekana Tottenham ndo ina wechezaji wengi walioingia katika PFA team nyuma ya Chelsea..
Lakini ikumbukwe pia Kayle Walker tayari ashauzwa Man City na Dany Rose anawindwa sana na Chelsea. Kwa hiyo katika ile list wanapunguza idadi ya wachezaji na ikumbuke kuwa Tottenham haijanunua wachezaji wapya msimu huu.
Sasa unaweza kuanza kupata picha kwa nini nasema Chelsea itakuwa timu tishio zaidi.
Chelsea imemuuza Matic na kumnunua Bakayoko ambaye kiwango chake ni kizuri zaidi. Diego Costa naye ni surplus to requirement na Morata amekuja kuziba pengo lake na naamini muda si mrefu mashabiki wa Chelsea wataacha kum-miss Diego Costa. Lakini pia imeingeza makali ya safu ya ulinzi kwa kumnunua Antonio Ludiger.
Wengine waliouzwa walikuwa reserve ya timu ambao wengi wao ni vijana wadogo ambao wameondoka kwa mkopo kwenye club nyingine ili waive zaidi.
Chelsea haijaishia hapo ila tajiri Abramovic atatoa about £130, 000,000 (£ 130 million) kwa ajili ya kuimarisha kikosi na wachezaji walio katika rada ya Chelsea ni Van Dijk ambaye Chelsea iko tayari kutoa £50M/Dan Rose, Ox Chambalein, Dan Drinkwater na wengineo.
Hivyo waweza kuona jinsi Chelsea itakavyokuwa timu hatari zaidi katika msimu huu kuliko msimu uliopita.
Chelsea lazima ifanye maajabu msimu huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa sheikh Yahya. Na wewe utamaliza nafasi ya ngapi.?Maajabu ni kumaliza nje ya top 10.
Sawa sheikh Yahya. Na wewe utamaliza nafasi ya ngapi.?
Thank youYou are right brother, we all make mistakes. Very easy to make mistakes online. Wishing your team well this season.
Tuwashikie nafasi na batshuai wenu mtafika lini..,,???Ivi unapoongea kwa kutamba ivyo na bado game 37 sijui labda wewe unajifikiriaje.? Jitathimini kuna ngwe ya kwanza na ya pili. Nyie tushikieni nafasi tu
Lazima yawe maajabu na hayawezi kutokea. Mechi ya Banley isikupe kiwewe isitoshe huwezi kujisifu kwa kuifunga West ham iliyokuwa na majeruhi watanoMaajabu ni kumaliza nje ya top 10.