Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

No wonder unashabikia rent boys.

Ronaldo toka alivocheza confederation cup hakuwahi gusa uwanjani hadi mechi na Manchester, ulitegemea aende straight kwenye starting XI?

Hamorapa wenu mlikua nae kwenye pre season lakini bado kwenye ligi anasugua benchi, alafu mnatuambia ni world class striker.

alikuwa ana adapt mfumo, subiri aje akudunge akili zikukae sawa hadi ukiri kuwa ni WORLD CLASS STRIKER.
ALVARO MORATA-30mins 1goal+1 assist.
 
769cb56dbe702a1d5ae4986d76b8a7e0.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app

kama vipi tumtoe hata kwa mkopo,
habari ya mjini ni morata yeye costa atupishe hatumtaki na ukorofi wake.
 
MATEO KOVASIC ni bonge moja la kiungo, hivi conte hamuoni huyu mtu hadi awatake akina drink water???????
scouting yetu na board ipo kizembe sana round hii.
huyu kovasic namuona ndo ange solve tatizo la defensive midifield.
 
alikuwa ana adapt mfumo, subiri aje akudunge akili zikukae sawa hadi ukiri kuwa ni WORLD CLASS STRIKER.
ALVARO MORATA-30mins 1goal+1 assist.
Alikua juve ka adopt mfumo hadi kaondoka, kaenda madrid ka adopt mfumo hadi kaondoka. Kituo kifuatacho cha kuadopt mfumo ni chelsick.

Yes am cunt, next question?
 
Kumekucha

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Attachments

  • 1502774849514.png
    1502774849514.png
    79.1 KB · Views: 48
Alikua juve ka adopt mfumo hadi kaondoka, kaenda madrid ka adopt mfumo hadi kaondoka. Kituo kifuatacho cha kuadopt mfumo ni chelsick.

Yes am cunt, next question?

lukaku alikuwa chelsea akawa anapigwa benchi na wazee akina drogba, torres, anelka. hadi sturridge alikuwa anamsugulisha benchi.
ndo maana sisi kwetu hana jipya ila kwenu ni material.
 
MATEO KOVASIC ni bonge moja la kiungo, hivi conte hamuoni huyu mtu hadi awatake akina drink water???????
scouting yetu na board ipo kizembe sana round hii.
huyu kovasic namuona ndo ange solve tatizo la defensive midifield.
Shida ni emenalo na najua mpaka dirisha lifungwe hatukosi watatu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom