Mkuu kuna ishara ya kufanya vibaya msimu huu.. Wafanye usajili haraka sanaPengo liko wazi kabisa yaani, Fabregas ni pass master ila anampa mzigo mkubwa sana Kante
Daaah sikutegemea duuh!!! Ila bado tuko imara sanaaMatokeo ya Chelsea nenda kamuulize Ollachuga Oc yupo Manchester United (Red Devils) Special Thread muda huu kaenda kujipunguzia stress kule
Welcome to new EPL, pensioners!!! hahahahahahhahaha
Burn the Bridge Burnley...
Ulishawahi kutegemea nini


Acha unafiki ..mkuuSisi Chelsea tunatetea ubingwa.
Msimu huu sio msimu uliopita tanakanyaga kila kinachokatiza mbele yetu
Hongera kwa ushindi wa kubangaiza jana
Ila hawa jamaa yetu leo wanatia aibu, najua Burnley kipindi cha pili ndio wanafungaga sana magoli lol
Hahahaha jana ilibidi tuchimbe mizizi mingi. The Rent boys walidhani watapata mtelemko hivyo hivyo, West Ham wataweka mguu kesho.
Hi, haterMasikini Morata. Jamaa hata hawajui kukaribisha mgeni. Huyu refa nae bandidu