Chelsea walikuwa wanacheza na vibonde Burnley sio United,City au Spurs na game ilikuwa Stamford Bridge,kama wasiposajili at least wachezaji 3 hata top 4 msahauChelsea Bingwa tena, kwa mpira mzuri sana leo, isingekuwa majanga ya Kadi basi tulikuwa tushinde kwa kishindo hii leo, lingine wale wakosoaji wa Morata leo kawasalimu, one goal one assist, what a performance for a very short time of play. Game tatu zijazo zitakuwa ngumu but baada ya hapo ni mwendo wa Lami to the top.
Bila kusahau three new signings very shortly.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wao burnley walkua kumi na tatu alafu bado wanampaki bas kwa wachezaj 8...,,Chelsea walikuwa wanacheza na vibonde Burnley sio United,City au Spurs na game ilikuwa Stamford Bridge,kama wasiposajili at least wachezaji 3 hata top 4 msahau
Yaaani Mimi mwenyewe refa sijamsoma kabsa, alikuwa na hasira sana dhidi yetu toka mapema kabsa!
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Eti ndo wanaenda na hao wachezaji UEFA si watapigwa 10 kama asernal..???[emoji3][emoji3]Chelsea walikuwa wanacheza na vibonde Burnley sio United,City au Spurs na game ilikuwa Stamford Bridge,kama wasiposajili at least wachezaji 3 hata top 4 msahau
Mtaelewa tu, na humu mtahama bila kufukuzwaEti ndo wanaenda na hao wachezaji UEFA si watapigwa 10 kama asernal..???[emoji3][emoji3]
Kifuatacho kushuka ligue tu.Chelsea tutapoteza match 3 zijazo
Sio mchawi ila fabrigas nyekundu cahil nyekundu
Hazard bakayoko Pedro majeruhi
Nini kinafuata hapo unadhani
Yaaani Mimi mwenyewe refa sijamsoma kabsa, alikuwa na hasira sana dhidi yetu toka mapema kabsa!
Pogba wa tz nchi imekushinda!
= You're au You are
Na wala hatukutaka kushinda huu mchezo wa leo!Sisi mashabiki wa Chelsea tunasema hii ni mechi ya Pre season
Hayo maneno hayana maana!! Cha msingi mmepigwa!!-Mechi 3 zijazo zitakuwa ngumu sana kwetu, itabidi tukaze mkanda
-Morata anatakiwa aanze, conte shall swallow his own pride wamalizane na costa wasaidiane kurudisha heshima ya chelsea
-Pedro, moses na hazard ndiyo roho ya chelsea na hilo limedhihirika leo
-Refa alijitahidi kuumudu mchezo ila bado alikuwa anateleza, kuna baadhi ya maamuzi kawa mwepesi sana kuyaamua
-Chelsea bado ni timu bora, from 0-3 to 2-3 with 2 men down, meen give us a break...
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea 2 vs 3 burnely
Pale fabregas hakufanya sawa, ilionekana ni kama dharau kwa mwamuzi kupiga makofi. Anyway its just a bad game, not a bad season. I hope baada ya mechi 2 chelsea itarudi kwenye ubora wake.Sheria sasa hivi ni kali sana, na zile rafu zilikua mbaya sana. Mtu unacheza rafu unapiga makofi halafu unalalamika refa hakua upande wenu?