msikimbie tarehe 11 desemba,kuna shabiki 1 chelsea huku alikuwa arsenal,msimu uliopita alikuja na mbwembwe eti oh leo spurs utachapa nyingi baada ya kuona wamechapa sijui sunderland mechi iliyopita 5-0,nikamwambiaje ni bora hata arsenal alichapwa 2-1 lakini walionyesha uhai,sasa nyie mtatota kabisha,siku ya mechi alilowa mana kama ball possession ilikuwa sours 95 chelsea 5,wangetulia mlikuwa mnakula 7,puvlyshenko alikosa sana mabao angekuwa crouch mngekoma na mshukuru bao lenu la penati la lampard,msimu uliopita 3,man utd ndie anamweza spurs,yani spurs hata waongoze 5-0 haf taimu kwa man utd bado wanaweza kufungwa,rudi 2001 octoba waliongoza 3-0 hadi ht,mimi niliondoka nilijua tayari dhahama mana tulikuwa tumetoka kufungwa na deportivo 2-1 ktk uefa champs ligi kwao kina tristan na pandiani na marudiano walitufunga trafford ktk makundi ilikuwa lakini knockout man utd wakajibu hadi wakamuumiza becks kisai kuwa hatihati kukosa world cup 2002,newcastle nae katuchapa 4-3,sasa nikaondoka jamaa mpenzi wa man ananiambia tumeshinda 5-3 nilimbishia mpaka nikanunua gazeti kuhakikisha hadi la blank(kocha wa france sasa) kafunga siku hiyo,sasa nakusubiri kwa hamu tarehe 11 desemba tuone