Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Japokua mm sio mshabiki wa Chelsea...
Sioni sababu ya msingi hasa ya Conte kumkataa Costa ambaye ameshaprove kwenye ligi ya England.
Forwards wamekua adimu sana kipindi hiki Halafu unamkataa Costa mpambanaji.Morata ni kama kamari mnacheza akichemsha mtarudi kwa Batshuayi..real???
Hajamkataa aliomba mwenyewe kuondoka mapema tu
 
Mashabiki wa asenal na man u mnacheka mwanzo mwishoni mnalia
Haya ngoja tutawaona
Jamani shemeji yangu Kimariooo (in chaga's voice) sisi Man U hatutalia kamweeeee!!! Hahahha shemmm usimaind hapa twachangamsha tu jukwaaaa ila msimu huu future yenu ni ndogo sana ila usijali nitakuwa hapa kila wakati kukufariji.
 
Hahahaaaaaa ulivyomwitaaaa Mimi mbavu zangu hoii...
Kimariooooo umesikiaaa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani shemeji yangu Kimariooo (in chaga's voice) sisi Man U hatutalia kamweeeee!!! Hahahha shemmm usimaind hapa twachangamsha tu jukwaaaa ila msimu huu future yenu ni ndogo sana ila usijali nitakuwa hapa kila wakati kukufariji.
Tutawaona
Arsenal mtaa wa 5
Man u mtaa wa 6

M
Hii ni mitaa yenu pendwa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom