lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 13,201
- 28,086
Naomba matokeo mkuu.. Tumemfunga ngapi huyo Arsenal?Arsenal anakufa kifo kibaya leo
Naomba matokeo mkuu.. Tumemfunga ngapi huyo Arsenal?Arsenal anakufa kifo kibaya leo
Bwana haha hahaha ahaaaa sawa sawaaa.Arsenal anakufa kifo kibaya leo
Aisee umerudi kwa kasi aiseeHuu msiba ni mkubwaaaaaaaaa....
Jamani Parapandaaaa....
Parapanda Italia parapanda....
Jamani parapandaaaa
Parapanda italia Italia...
Na yokohama.....
Watakuwa.........
Nina huzuni jamaniiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Bia za Wenger mmekunjwa..
Ha ha ha ha ....vijana wa Wenger siyo watu wazuri atiiii.Aisee umerudi kwa kasi aisee
Ongera zao hawa majirani..aisee hawa mashetani Wa bluu nawaonea uruma msimu huuHawawezi kusema ngoja nikuambiee Mimi wenzetu wanaomboleza msiba.
Dakk 90
1-1 yaani sare.
Wakapiga penalty..
Hapo ndipo the buluzi walipochezea vinne huku wakiwa wameshinda kamoja tuu.
Hivyo wale jirani Leo wamechukua Ushindi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamesha REST IN PEACE tufunge tuu turbai tuweke msiba..Ongera zao hawa majirani..aisee hawa mashetani Wa bluu nawaonea uruma msimu huu
young kilimanjaro
Punguza mihemko mwanamke. Hii ligi ya wanaumeHuu msiba ni mkubwaaaaaaaaa....
Jamani Parapandaaaa....
Parapanda Italia parapanda....
Jamani parapandaaaa
Parapanda italia Italia...
Na yokohama.....
Watakuwa.........
Nina huzuni jamaniiii
Sent using Jamii Forums mobile app
Wamesha REST IN PEACE tufunge tuu turbai tuweke msiba..
Tuwafariji maana wanaweza jinyonga hawa
Sent using Jamii Forums mobile app



Haitokuja kutokea hata siku moja.mnaanza kuwa wateja wa Arsenal
Hahaha hahaha haaa a relux...Punguza mihemko mwanamke. Hii ligi ya wanaume


FA wajaribu na mfumo wa magoli kama ya ragbi ili watu kama wakina curtouis wafikiriwe nao....Wataalam wa anga wamesema wameiona penalt ya Curtios inakatisha KIBITI ikiendelea Na safari
[HASHTAG]#Wachambuzi[/HASHTAG] wa super sport wapo wanabishana wanadai Courtios alifikiri mpira umerudishwa Na foward Na anakuja hivyo akaamua kubutua!
Yule Morata naye kapiga nje hivyo FA inafikiria kumsogezea goal ili awamu nyingine aweze kushinda..