Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hawa watu tayari washaingia mkenge!!

Morata ni nyoronyoro.

Morata "Just not fit enough"

sisi tumempenda huyo huyo nyoronyoro na ndddo maana tumetoa pesa nyingi kwake,
huyo kiroba lukaku bakini nae ninyi sisi hatumtaki.
 
Msimu ujao..ninyi mnakwenda kuomboleza..

Mkuu Sisi ngoja tubaki na mniga kaliwa na mamba!

Drink maji yupo njiani nasikia anakuja Pale darajani.
 
mkuu team yako tokea aondoke babu sijawahi ihofia hata mumsajili donald trump,
team to fear is man city. naiamini team yangu na mwaka tunachukua kila aina ya kombe hata kama la mbuzi ili mradi chelsea ipo inabeba.
 
Pamoja na kwamba ataona umeandika kishabiki ila ni kweli hata Aston villa hawaiogopi man utd.

Msimu ujao ni man city na chelsea..one of those two! Wengine kina arsenal, liverpool na totenham wanagombea nafasi zifuatazo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu..!
Kwangu Babu ni moja ya watu waliochangia kuiyumbisha man United katika kipindi chake cha mwisho ..! Hakuandaa mazingira mazuri ya kuiacha timu.. sajili zake zilikuwa za zima Moto,

Ikafika kipindi Paul anarudishwa ilinisikitisha..akaja kutumaliza na moyes.

Ila ninyi msimu ujao nauona mlango mweupe kwa muitaliano huyu..kwanza mechi zitaongezeka Uefa..forward yenyewe conte anakiri bwana mdogo bado ni mwololo...au twaita ni lazy boy.
 
mkuu man city ndo inanipa "headache".
hadi saizi naona two horse race ambazo ni chelsea/mancity. hao wengine wauaene kuingia top4.
 
Mkuu..!
Kwangu Babu ni moja ya watu waliochangia kuiyumbisha man United katika kipindi chake cha mwisho ..! Hakuandaa mazingira mazuri ya kuiacha timu.. sajili zake zilikuwa za zima Moto,

Ikafika kipindi Paul anarudishwa ilinisikitisha..akaja kutumaliza na moyes.

Ila ninyi msimu ujao nauona mlango mweupe kwa muitaliano huyu..kwanza mechi zitaongezeka Uefa..forward yenyewe conte anakiri bwana mdogo bado ni mwololo...au twaita ni lazy boy.[/QUO

kiongozi manU ya babu ilikua inaogopeka hata ikiwa na kikosi kibovu, refer kikosi kilichompiga asenali 8-2 alijaza mabeki wengi.
ila tokea aondoke team yenu imebakia kama mbwa mzee aliyeng'olewa meno, anabweka tu ila hangati.
 
Mkuu..!
Kwangu Babu ni moja ya watu waliochangia kuiyumbisha man United katika kipindi chake cha mwisho ..! Hakuandaa mazingira mazuri ya kuiacha timu.. sajili zake zilikuwa za zima Moto,

Ikafika kipindi Paul anarudishwa ilinisikitisha..akaja kutumaliza na moyes.

Ila ninyi msimu ujao nauona mlango mweupe kwa muitaliano huyu..kwanza mechi zitaongezeka Uefa..forward yenyewe conte anakiri bwana mdogo bado ni mwololo...au twaita ni lazy boy.

msimu huu chelsea ipo stima. usajili uliofanywa wewe mwenyewe umeuona.
 
Mazee msim ujao tutatumia uwanja gani? Maana darjan naona kumefungwa. Halafu matengenezo ya uwanja wet utatumia muda gan? Na jina la uwanja litakuwa ni lile lile?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_2017-08-02-09-44-11.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kumbe kuna mashindano ya kusukuma uzi ili sikujua
Wow!!!

Mashindano yatoke wapi bwana mkubwa..?

Inaonesha njisi gani klabu inavyopendwa na wadau ,kupeana taarifa mbalimbali.

Huoni uzi wenu huu umepoa Mkuu..? tunawachangamusha kidogo wazee wa darajani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom