Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ule uzi wenu umejaa mapicha picha tu na kuandika pumba tu hakuna facts kule
Walau kidogo wewe unaupa uhai uzi..!

Pumba zitoke wapi..wakati watu wanapeana taarifa za maendeleo ya klabu yao pendwa.

Alafu uzi ukipoa sana unatia kinyaa mkuu, hili wewe hujaling'amua..?
 
Ooohh, Kumbe she was ChelseaFC Fun - RIP Carol Ngumbu.

Carol-Sharif-Ngumbu.jpg
 
Its hard to know what Chelsea (Conte) is targeting on this transfer market:


Chelsea boss Antonio Conte eyeing surprise swoop for 30-year-old Inter Milan winger Antonio Candreva
Lazio-v-Bologna-Antonio-Candreva-of-Lazio_3143874.jpg



Chelsea tell Leicester they won’t pay more than £30million for Danny Drinkwater

2779302_heroa.jpg



Chelsea emerge as shock favourites for wantaway Everton star Ross Barkley as Antonio Conte eyes new midfielder
evertons_ross_barkley_369857.jpg



Juventus’ Alex Sandro remain priorities for the wing-back positions.

Alex-Sandro-574119.jpg
 
Kama kuna anaeudharau uwezo wa drinkwater haifuatilii leicester vizuri
Huyu jamaa ni zaidi ya mahrez kwa kiwango anachokionyesha pale leicester city
 
Walau kidogo wewe unaupa uhai uzi..!

Pumba zitoke wapi..wakati watu wanapeana taarifa za maendeleo ya klabu yao pendwa.

Alafu uzi ukipoa sana unatia kinyaa mkuu, hili wewe hujaling'amua..?
Kwa hiyo ndio maana mnaongea ongea tu bila hoja na kutupia mipicha tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom