Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Acha kupotosha watu morata hiyo assist kaitolea wapi au alivyochemka ndo mmeanza kumtetea ..????
Umemuona lukaku kwenye tema bora hawezi kufunga bao
Ilianza madrid
Sasa barcelona
Hamna kitu huyo lukaku atazifunga team ambazo sio bora tu
 
Umemuona lukaku kwenye tema bora hawezi kufunga bao
Ilianza madrid
Sasa barcelona
Hamna kitu huyo lukaku atazifunga team ambazo sio bora tu
Haya bhana tusubirie kwa morata akifunga gori kwenye hizi pre season afu uniqoute tena nakuhakikishia hatofunga hata gori moja mpaka ligue inaanza labda .!!!
 
Umemuona lukaku kwenye tema bora hawezi kufunga bao
Ilianza madrid
Sasa barcelona
Hamna kitu huyo lukaku atazifunga team ambazo sio bora tu
Kwani msimu mzima tutacheza na barca na Madrid ....

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Unasema timu ndogo, kijana naona hujui kitu wewe Manchester United kwenye ile meza ya team nzito nzito tatu anakutana na Dallas Cowboys na New York Yankees. Real Madrid na Barcelona wenyewe wanamsubiri parking lot, sembuse Chesi yako? probably unaweza kufikiriw kuwa hata waiter.

We jamaa bure kabisa, bila shaka hapo chelsea uliletwa na wimbi la Mourinho.

Chelsea tulikupiga kwetu kama ulivyotupiga kwenu (Kumbe na nyie mlikamia, huh)

Real Madrid goli lilipatikana asilimia kubwa walicheza kikosi cha pili vs wao Kikosi kilichochukua UEFA(Kasoro Ronaldo na Morata tu teh teh) Hapa inaonesha Madrid walikamia sio sisi.

Ninyi mbona mlikamia kwa Arsenal?? Mkakamia kwa Bayern, ila mkakuta naye kawakamia (Usimkamie asiyekamiika maana mtakamiana) teh teh teeeeeeeh

By the way, nikuulize swali moja tu, Hivi kwa EPL ni Club gani ambayo kwa msimu ulioisha imekuwa na mafanikio zaidi kushinda zote?????
Waambie maboya ao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya bhana tusubirie kwa morata akifunga gori kwenye hizi pre season afu uniqoute tena nakuhakikishia hatofunga hata gori moja mpaka ligue inaanza labda .!!!
Morata katoa assist ya goli la pili dhidi ya bayen
Angalao ndani ya dk30 kaonyesha kitu
Tena assist ya kichwa
 
Morata katoa assist ya goli la pili dhidi ya bayen
Angalao ndani ya dk30 kaonyesha kitu
Tena assist ya kichwa
Mbona unampatia assist morata ambayo hakuifanya..???
Ebu lete hapa clip tuone kama katoa assist au nenda live score uangalie nani kaasist hilo goli kama jina la morata lipo afu uscreen short utume huku .
 
Nimesoma nikacheka sana, nikajua kumbe Jose naye ni msanii eee..... hebu soma na wewe.....eti...

Jose Mourinho says Paul Pogba's unique value to Manchester United puts him on the same level as Lionel Messi and Neymar.

Yaani kwa kifupi:-

Pogba Level = Messi = Neymar

skysports-pogba-messi-man-utd_4050076.jpg
 
Ila Sidhan kama kaugusa ndo maana hata kwenye goal score update hawajaandika kaassist nani tusubirie tu mechu yenu na intermilan jumamosi tuone kama atafunga sasa huyo morata wenu
cheki video.. mpira aliugusa.
 
Attachments

  • morata.png
    morata.png
    12.5 KB · Views: 47
Nimesoma nikacheka sana, nikajua kumbe Jose naye ni msanii eee..... hebu soma na wewe.....eti...

Jose Mourinho says Paul Pogba's unique value to Manchester United puts him on the same level as Lionel Messi and Neymar.

Yaani kwa kifupi:-

Pogba Level = Messi = Neymar

skysports-pogba-messi-man-utd_4050076.jpg
Pinga kwa hoja ueleweke au ujapita shule mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pogba bora zaidi ya Kante sababu anakaba anasambaza mipira na kufunga wakati Kante yeye ni kukaba tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom