NITATOA USHUHUDA
JF-Expert Member
- Jul 6, 2017
- 757
- 730
VIBAYA MNOAnelka now yuko hot
VIBAYA MNOAnelka now yuko hot
DAH NAKUMBUKA NIKO DARASA LA SITA,HIVI NANI ALILIINUANaona msimu huu chalsea na liverpool wameukamia
Leta reference ya hiyo assist ya moraraHow many minutes they play?
Lukaku 4 matches 2 goals 240 + 12 minutes played. If I'm not mistaken
Lacazete 3 matches 1 goal. 240 +9 minutes played. If I'm not mistaken
Morata 1 match 1 assist. 27 +3 minutes played
Mwenye macho na akili ambiwi tazama. Mkuu usitokwe na ufahamu msimu haujaanza subiri August
Mkuu unasemaje unaongea na mm au unaongea na simu..???Leo atashinda goli mbili siunajua milan wametoka kucheza juzi tu hapa na bayern hope Chelsea watakuwa vizuri leo



Naona leo conte ameamua kutomwamini morata mmeamua kumuweka pembeni kama winger na bado ndo mtajua mlichukua garasa







Mkuu acha tu kuwapa maumivu




Maneno yangu jamani yataendelea kuishi nasisitiza tena hatofunga kwenye hizi preseasonMacho yangu leo mi ni kwa morata tu nasisitiza tena kwenye hizi preseason hatofunga hata goli moja.![]()

:Maneno yangu jamani yataendelea kuishi nasisitiza tena hatofunga kwenye hizi preseason![]()
![]()
![]()
![]()
![]()








Hahahahaha, we jamaa unanifurahisha muhindi hanaga masihara kabisa odds 4Daah.hii game nilijua tu tunafungwa nikadharau.kumpa inter.alipewa odds 4.
Sent using Jamii Forums mobile app
