Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,804
Chelsea hatuhitaji shabiki kama wewe
Baki na mourinho mbwatukaji badala ya kuzungumzia litimu lake anahangaika na liverpool
Na ninyi bakini na litimu lenu, bila ya huyo Mourihno muda huu mngekuwa kama Aston villa tu. Kwanza badala ya kumzungumzia Moratu wenu mnahangaika na Lukaku.