Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

NAONA MORATA ANAKIMBIA KIMBIA2..... TATIZO NN WAKUU KWAMBA KWELI TUMELAMBA GALASA KAMA WENZETU WANAVYOSEMA

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata mimi hii team yangu chelsea imeanza kunichosha bado sijaielewa na naona hivyo morata alikuwa anakimbia kimbia tu uwanjani kila akigusa mpira tu anaporwa mi naona bora costa kuliko morata ni maoni yangu tu.
 
Ila morata tumpe muda tu anaweza badilika huko mbele ligi ikianza na pale mbele kwa sasa mi naona acheze tu alonso ila sio morata.
 
Mimi team yangu ni Manchester united .... To be honest bila chembe ya ushabiki wowote Nilikuwa namkubali sana Diego Costa ... Nilitamani sana aje Manchester dirisha hili sema ndio hivyo sijaona hata tetesi za kum-Link na Manchester.

Naelewa uwezo wa Morata ila sidhani kama itakuwa ni rahisi kwa yeye kuwasahaulisha mazuri ya Diego Costa .

Ajitahidi sana....

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Mkuu hata mimi hii team yangu chelsea imeanza kunichosha bado sijaielewa na naona hivyo morata alikuwa anakimbia kimbia tu uwanjani kila akigusa mpira tu anaporwa mi naona bora costa kuliko morata ni maoni yangu tu.

Mkuu sio unaona, piga ua Costa ni bora mara 100 kuliko Morata, hata afanye nini hawezi fikia kiwango cha toto tundu. Tatizo ni kuwa nyie si mnataka waseminary? huyo hapo Morata mmempata, ila sidhani kama atadeliver kama Costa.
 
Mimi team yangu ni Manchester united .... To be honest bila chembe ya ushabiki wowote Nilikuwa namkubali sana Diego Costa ... Nilitamani sana aje Manchester dirisha hili sema ndio hivyo sijaona hata tetesi za kum-Link na Manchester.

Naelewa uwezo wa Morata ila sidhani kama itakuwa ni rahisi kwa yeye kuwasahaulisha mazuri ya Diego Costa .

Ajitahidi sana....

Sent From My Nokia Ya Tochi
We nawe usituchafulie jukwaa letu.
Kufungwa mechi moja ndo yote hayo wanena,kaondoka ballack,drogba,torres nk.sembuse costa?aende tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom