Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ni kweli baker yuko vizuri na ninaweza kusema ana quality kuliko wenzake wengi ila bado haja settle kwenye formation kama boga anavyotishia amani na mwenzake tomori ndo maana wamemake headlines mkuu

sent from my jamii forums app iphone 7+

Sure mkuu,, Lewis Baker yuko vizuri SANAA kwenye attacking,,hajawahi kufunga goli la kawaida goli zake zote za kifundi i know unamfuatilia so u knows that,,ni mzuri SANA nje ya Box anashoot na anascorebfrom that position
ka umeangalia game ya leo kuna pasi aliomba kwa Kenedy unfortunately kenedy akachelewa kutoa akakabwa,ka angepewa ile pasi heading zoote now zingekua zinaongelea style ya goli ambalo Baker angefunga from that position

Ana piga dead balls vizuri sanaa pia,,alipiga freekick moja leo kwa mtu anaejua ufundi wa freekicks obvious aliona sth special from this guy
 
Msirudie tena kumwongelea lukaku kawamaliza leo naona kimyaaaa you should behave hata morata kumi hawawezi funga lile goli la lukaku[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji109] [emoji109] [emoji109]
Tuna batsuayi kijana mtamu kuliko lukaku. Tazama Magoli yake Leo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mliangalia hii match vizuri baada ya wilian kufunga luiz alijipa kazi ya kumshauri batshuay na alipofunga la pili na baadae la tatu luiz alienda tena kuzungumza na batshuay kwa kazi nzuri na batshuay alionekana akimshukuru Mungu kwa ushauri aliopewa na luiz
Nafikiri alimwambia awe anapiga anapolikaribia lango na sio kuremba
 
Sahihi kabisa, wazungu wanasema naked true

sent from my jamii forums app iphone 7+
 

Labda useme alimshauri kuhusu namna ya kupiga mkuu maana Batsuayi alikua kashapiga shots nyingi sana kabla ya dk 30,,shots zake nyingi zilikua zinaenda offtarget au zinakua powerless mkuu
Cheki ata stats zake kwa game ya jana utaona
 
Kwa mgumo wa Chelsea angetusumbua sana, alafu kufunga goli nyingi msimu u,iopita sio kigezo cha kuwa mfungaji bora au Mzuri, nilifurahi sana Mou alipoingia kichwakichwa kwa Lukaku
we jamaa unafurahisha kwa hiyo striker anayefunga magoli 3 kwa msimu mzima ndio mfungaji bora-kuwa mfungaji bora lazima uwe na consistency ya kufunga magoli ktk misimu angalau 2
 
morata kule madrid alizungukwa na word class palayers tofauti na lukaku alivyokuwa everton.pia angalaia na ligi
 
we jamaa unafurahisha kwa hiyo striker anayefunga magoli 3 kwa msimu mzima ndio mfungaji bora-kuwa mfungaji bora lazima uwe na consistency ya kufunga magoli ktk misimu angalau 2

Sasa nilichokiqndika mimi na unachokisema wewe kina tofauti gani?, au ugumu tu wa kuelewa?
 
morata kule madrid alizungukwa na word class palayers tofauti na lukaku alivyokuwa everton.pia angalaia na ligi
Unatumia vibaya neno world class player. Leo Kante akiwa Chelsea siyo world class player, ila kesho akipelekwa Madric anaanza kuitwa world class layer!

Unamtetea Lukaku kwa kuwa anauzoefu na EPL na hakuwa na combination ya wachezaji wazuri kama ilivyo Man U ila pia unapaswa kujua baadhi wa wachezaji wanashuka kiwango kwa sababu ya kushindwa kumudu pressure ya timu kubwa.

Everton kuwa ndani ya top four is a big deal lakini pia kushika nafasi ya 5 au 6 kwao ni mafanikio. Katika hali hii mchezaji anakuwa na pressure ndogo sana. Kwa hiyo anakuwa na utulivu wa moyo na nirahisi kudeliver.

Hali ni tofauti unapokuwa timu kubwa kama Man U ambapo pressure ni kubwa. Timu, kocha na mashabiki wanahitaji UEFA trophy, EPL, FA na ikiwezekana ichukue vikombe vyote.Na kwao hiyo Ndiyo kazi iliyokupeleka.
Katika pressure ya namna hii wachezaje wengi wanaperform kinyume na mategemeo ya Kocha, club na mashabiki.

Kwa hiyo ununuzi wa Lukaku is still a gambling.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…