Caballero>Man CityHivi huyu caballero na rudiger wametokea timu gani?
Shabiki wa Chelsea tumelewa aisee yani hujui wachezaji wako wanatoka wapiHivi huyu caballero na rudiger wametokea timu gani?






Unashindwa tambua MORATA anacheza ligi gani na pia unashindwa jua kuwa MORATA Madrid kule alizunguka na world class player au unataka sema na cc tunao ao worls5ckass wakutishaMkuu mm sikatai kwamba Lukaku ni mchezaji mzuri na ameweza kuthibisha kuwa anaweza kufunga magoli mengi katika EPL, lakini nataka nikuambie kuwa Morata ni zaidi ya mfungaji.
¶Anaweza kujitengenezea nafasi za magoli(creativity) kitu ambacho hakionekani kwa Lukaku,
¶ Anaweza kufunga magoli machache kuliko Lukaku lakini akatengeneza magoli mengi zaidi ya Lukaku. Kwa maana hiyo with Man U Lukaku anaweza kufunga magoli 28 na kutoa assist 3 za magoli lakini Morata anauwezo wa kufunga magoli 25 na akatengeneza assist 14 za magoli.
Kwa usipotezwe na magoli 25 alifunga Lukaku dhidi ya 15 ya Morata. Jaribu kuangalia Lukaku amecheza mechi ngapi? Na Lukaku amecheza mechi ngapi mpaka anascore 25 goal?
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa mkuuCaballero= Man city Rudiger=AS Roma
Let it flow
Sasa conte alikuwa wapi c Chelsea au.... Misiwaongelei manure naongelea timu yangu nasema ukweli kwa MORATA tumeliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
unataka kuwa shabiki wa chelsea nini man u ndio wameliwa kwa lukakuUna tatizo ambalo ni la kisaikojia na hata nikisema nakuelewesha jambo huwezi kunielewa. Hivi unacheza na Hazard,Wilian, Fabrigas nyuma na Pedro yuko pembeni alafu unasema hauna World class players! So astonishing.Unashindwa tambua MORATA anacheza ligi gani na pia unashindwa jua kuwa MORATA Madrid kule alizunguka na world class player au unataka sema na cc tunao ao worls5ckass wakutisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaikumbuka huu post yako?Unashindwa tambua MORATA anacheza ligi gani na pia unashindwa jua kuwa MORATA Madrid kule alizunguka na world class player au unataka sema na cc tunao ao worls5ckass wakutisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana nae hajielewi huyoUna tatizo ambalo ni la kisaikojia na hata nikisema nakuelewesha jambo huwezi kunielewa. Hivi unacheza na Hazard,Wilian, Fabrigas nyuma na Pedro yuko pembeni alafu unasema hauna World class players! So astonishing.
Hivi Nambie, kati ya kikosi cha Man U na Chelsea ni kipi unaona kimeshiba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lukaku ni mzuri kuzidi morata,kama lukaku angekuwa anacheza na wachezaji wazuri kama morata angefika hata magoli 35 kwa msimuAkili za kimani u hizi
Lukaku ni mzigo mmenunua
ile man u ya msimu uliopita kama asingekuwepo pogba sa hivi mngekuwa nafasi ya 10.wachache sana tunajua mchango wa pogba pale man uFedha haina thamani kwa mchezaji kwa sasa. Zitarudi hivi punde
Kwani Pogba 100 kuna nini cha ziada? Mbona tumeona kawaida tu, soka limebadilika.
Cahil Uingereza utambeba, So Luis ana hatihati ya kukaa benchi kwani pia ana vimakosa vidogovidogo, Sidhani kama Azip atawekwa nje, jamaa ni bonge la Beki Kiraka, maaana kila namba pale nyuma anachezaEden Kimario, anaesuasua na ataepigwa benchi na Rudiger ni Cahill sio Luiz
Ivi unajua world class player features na niwapi??Una tatizo ambalo ni la kisaikojia na hata nikisema nakuelewesha jambo huwezi kunielewa. Hivi unacheza na Hazard,Wilian, Fabrigas nyuma na Pedro yuko pembeni alafu unasema hauna World class players! So astonishing.
Hivi Nambie, kati ya kikosi cha Man U na Chelsea ni kipi unaona kimeshiba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi umeielewa iyo kweli au unakurupukaUnaikumbuka huu post yako?
Manchester United (Red Devils) Special Thread
Sent using Jamii Forums mobile app