Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

a579ed6cf9f6ca67e62d38c1a87f7f9c.jpg

Sikupati vizuri [HASHTAG]#MkaangaSumu[/HASHTAG] "UNASEMAAA??"

(Next time andika basi bila kumwaga hayo machozi mkuu ueleweke kuwa haulii hapo wala haikuumi)
magoli kwenye pre sessoan wanafunga had mabeki sembuse lukaku

I BLNG 2 JESUS CHRST
 
Msirudie tena kumwongelea lukaku kawamaliza leo naona kimyaaaa you should behave hata morata kumi hawawezi funga lile goli la lukaku
Yale magoli ataishia kuzifunga team ambazo hazina mabeki imara tu
Hatishi hata kidogo
 
tatizo man u nyie level zenu ni za kwenye mitandao....embu subilieni ligi ianze..kwani nyie simlikosa morata na mlikuwa mnamtaka piga kimya morata habari nyingine hapa mujini

I BLNG 2 JESUS CHRST
KWAHIYO KISA MAN U ILIONESHA KUMTAKA BASI MKAKULUPUKA.... HAHAHA MO KAWACHEZEA AKILI MNAKULUPUKA NYIE WA BLUE

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mafansi wa chelsea conte anataka kuteua nahodha mpya wa team ya chelsea
Wewe kama fans wa chelsea ni mchezaji gani anayefaa kuwa nahodha wa club yetu misimu ijayo
Haya ndio majina yanayozungumzwa sana
076be8ce607e8b86f0f00217e937e5f1.jpg
 
Kwangu mimi cecar aspiliqueta ndiye nahodha anayefaa sana kutuongoza msimu ujao

Hao wengine sio wabaya ila kwangu mimi ndio huyo
Wote wamekaa na team muda mrefu
 
Msirudie tena kumwongelea lukaku kawamaliza leo naona kimyaaaa you should behave hata morata kumi hawawezi funga lile goli la lukaku
Kaangalie morata youtube goli alilowafunga man city alipokua juventus ndo utajua
 
Sasa mafansi wa chelsea conte anataka kuteua nahodha mpya wa team ya chelsea
Wewe kama fans wa chelsea ni mchezaji gani anayefaa kuwa nahodha wa club yetu misimu ijayo
Haya ndio majina yanayozungumzwa sana
076be8ce607e8b86f0f00217e937e5f1.jpg

Cahill na msaidizi wake ni Azip na Captain namba tatu ni Luis
 
Kikosi changu cha msimu ujao

Courtouis

Aspiliqueta, luiz, rudiger

Kante, bakayoko, Moses, fabrigas, or alonso

Petro, au wilian, morata, hazard
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom