Kwa mashabiki wa Chelsea,
Ijumaa tunatarajia kukutana pamoja pale TOMONI Victoria karibu na kona ya kwenda Mwananyamala kuanzia saa 12 jioni lengo ikiwa ni kufahamiana na kupanga pamoja kuhusu sherehe yetu tunataka iweje wakati huu ambao kuna juhudi mbalimbali zikiendelea kufanikisha hilo,kila shabiki wa Chelsea atakayefika atapata juice moja bure(Yaani ushalipiwa) kigezo cha kutambulika ni kuja na simu yako na kutuonesha group la Chelsea ulilopo,Kwa kuzingatia kuwa kuna wengine wana ugomvi ama hawatumii Juice
♂ basi tumeruhusu mtu kujibebea kinywaji hasa vinywaji vikali, kutakuwa na nyama choma la kiSouth(Hii unajinunulia haijalipiwa
) Bila shaka maelezo yamenyooka na yanaeleweka.
Mfahamishe kila mwana Chelsea kwenye groups mbalimbali.
*Imetolewa*
*Kitengo cha habari*
*Chelsea Tanzania*
Hii ni kufahamiana na kuyajenga. Mim ciwez enda grouo la man u hata iweje. Ukiona mtu anakuambia ni arsenal alaf akaja event ya chelsea ujue kua anaikubal kiainaUtamtambua mtu kwa msg ya Group?, haya Magroup huwa yanahusisha pia wapinzani wetu
Hii ni kufahamiana na kuyajenga. Mim ciwez enda grouo la man u hata iweje. Ukiona mtu anakuambia ni arsenal alaf akaja event ya chelsea ujue kua anaikubal kiaina
Jay
Hapana kaka, mambo ya soka ndio yalivyo, labda wewe ni mgeni wa uzi huu, humu tunakuwaga na watu wengi sana ambao sio Chelsea, kama Wacha , BAK , mwanafyale nk huwa wanakuja kututania na sisi tunaingia kwenye thread zao za Arsenal, MancheSITA, na LiverPool kuwatania, so ata magropu ya Watsapp ni same
Hivyo ndivyo inatakiwa iwe Mkuu na inapendeza na kuleta raha sana dhidi ya mashabiki mbali mbali humu.
Hivi hawajui walleta picha nyingi za Chelsea kwenye hili Jukwaa sio watu wa Chelsea?
Nafahamu vizuri. Ila ukiitisha mkutano wa chelsea wakaja man u bas ujue uyo ana tatizoHapana kaka, mambo ya soka ndio yalivyo, labda wewe ni mgeni wa uzi huu, humu tunakuwaga na watu wengi sana ambao sio Chelsea, kama Wacha , BAK , mwanafyale nk huwa wanakuja kututania na sisi tunaingia kwenye thread zao za Arsenal, MancheSITA, na LiverPool kuwatania, so ata magropu ya Watsapp ni same
tukiwakosa wote tunaowahitaji tutarudi kwa huyo as temporalyHivi kumfatilia chicharito kuliishia wapi?
Kumbuka westham walikuwa wanamtaka pia. Na isitoshe wanaeza mhakikishia namba kwene 1st eleventukiwakosa wote tunaowahitaji tutarudi kwa huyo as temporaly
nachopenda maajabu ya hii dunia ni kwamba kila mtu ana mtazamo wake .........DAAH NIMEUMIA SANA CONTE KUSHINDWA KUMSAJILI LUKAKU ON SASA VITU ANAVYO FANYA JAMAA NAONA ASHAANZA KUTUPIA2 DAAAH
Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app
hapo mzee baba KUN .......MMOJA KATI YA HAWA LAZIMA AM REPLACE DIEGO COSTA...!!
Alvaro Morata (Real Madrid),
![]()
Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund),
![]()
Andrea Belotti (Torino)
![]()
Sergio Aguero. (manchester city)
![]()
Vote Now.......
Mnajidanganya tu hamna mtu kati ya hao atakayekuja kwenu mtakoma kumfukuza costahapo mzee baba KUN .......

Yupo na remyHyu conte akampgie magoti ss costa mana hakna striker tutakae msajil saiv wa maana nae atatukanaje mamba kabla hajavuka mto ilitakiwa amwambir costa kua hamhiymtaji akiwa amepata mchezaji mwngne
Daaa UEFA na striker batshuayi daaa naona conte kfukuzwa kunanukia
Lukaku ni wa kawaida sanaDAAH NIMEUMIA SANA CONTE KUSHINDWA KUMSAJILI LUKAKU ON SASA VITU ANAVYO FANYA JAMAA NAONA ASHAANZA KUTUPIA2 DAAAH
Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app
Safi bado tunamwitajiBREAKING NEWS
Chelsea have confirmed head coach Antonio Conte has signed a new two-year contract.
The Italian, who won the Premier League title in his debut season at the club, had been linked with a return to Serie A with Inter Milan.
However, We have had confirmation from Chelsea that Antonio Conte's two-year contract is not an extension.
The Italian already had two years remaining on his previous Chelsea contract.
The new deal announced this evening instead improves the terms of his existing contract, a reward for winning the Premier League title last season.
Conte said: “I am very happy to have signed a new contract with Chelsea. We worked extremely hard in our first year to achieve something amazing, which I am very proud of. Now we must work even harder to stay at the top.
“The Chelsea fans have given me so much support since I arrived here one year ago and it is important we continue to succeed together.”