boby kwenye maisha huwa tuna plan A....B....C...D na nk
nadhani niliyemuquote atanielewa
Upo mkuu?hapo morata muondoe kwene list. madrid wanataka pound 100M.
Sasa kama niivo kwann alikuwa first choice!?boby kwenye maisha huwa tuna plan A....B....C...D na nk
sasa conte kapigwa changa kivip wakat plan A...lukaku,plan B...morata....plan C..aebemayang...wachumi tunaita you must have a scale of preference......yaan lukaku chelsea asingekuja kufanya vizuri hata siku moja.......Yule ni mchezaji wa timu ndogo changa walilopigwa UNT watakuja juta
I BLNG 2 JESUS CHRST
nadhani niliyemuquote atanielewa muktadha wa kuongea hivyo
atakuwa anaugulia maumivu huko aliko
Mkuu njoo ufte kauli yako. Nyie madomo zege mlishindwa kufanya negotiations na Real MadridMnajidanganya tu hamna mtu kati ya hao atakayekuja kwenu mtakoma kumfukuza costa[emoji4] [emoji4]
Bado msimamo wako haujabadilika kuhusu central striker na Conte?Hyu conte akampgie magoti ss costa mana hakna striker tutakae msajil saiv wa maana nae atatukanaje mamba kabla hajavuka mto ilitakiwa amwambir costa kua hamhiymtaji akiwa amepata mchezaji mwngne
Daaa UEFA na striker batshuayi daaa naona conte kfukuzwa kunanukia
Tabia zake mbovuBashuai ata take responsibility kuwa na costa ktk timu ni bora kuwa pungufu uwanjani,kama diego ni mzuri jiulize ni kwanini toka tumetangaza kumuacha hakuna timu yoyote iliyoonyesha interest kwake zaidi ya atletico ambapo nao wanasuasua
CHELSEA TUMEFULIA SANA YANI TUNA MSUJUDI BENCH WARMER AKATI UKO DRID WANAMUONA FALA2 DAAAH.... KWELI CLUB YETU BADO SANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo benchi warmer ndiyo mfungaji wa pili kwa wingi wa magoli madrid baada ya christiano.CHELSEA TUMEFULIA SANA YANI TUNA MSUJUDI BENCH WARMER AKATI UKO DRID WANAMUONA FALA2 DAAAH.... KWELI CLUB YETU BADO SANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sio shabiki wa blues kwanzaCHELSEA TUMEFULIA SANA YANI TUNA MSUJUDI BENCH WARMER AKATI UKO DRID WANAMUONA FALA2 DAAAH.... KWELI CLUB YETU BADO SANA
Sent using Jamii Forums mobile app
Nguvu anazitumia mkuu!kwanza umri mdogo...ana experience na UEFA ... anaakili na hatumi nguvu....ungeshangaa ya lukaku ningekuelewa
I BLNG 2 JESUS CHRST
lakini sio nguvu wanazoziongelea za lukaku
Appearance 14 La Liga ana magoli 15, ndo second score wa Madrid nyuma ya RonaldoTusiwaangalie wwnze2 tuangalie cc
AF pia kumbuka lukaku ni second top scorer wa PL uyu we2 vp wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Shamra shamra gani ambazo ulizitaka wewe mkuuKWANN CHELSEA WENGI HATUNA FURAHA WALA HAKUNA SHAMLA SHAMLA JUU YA UJIO WA MORATA!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Moses na Pedro wanapwaya wapi?Tunahitaji 2 wing backs wa kulia na kushoto, kuhusu back sio mbaya maana waliotolewa kwa mkopo wamerudi hasa christen
sent from my jamii forums app iphone 7+