chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,241
- 3,939
Bashuai ata take responsibility kuwa na costa ktk timu ni bora kuwa pungufu uwanjani,kama diego ni mzuri jiulize ni kwanini toka tumetangaza kumuacha hakuna timu yoyote iliyoonyesha interest kwake zaidi ya atletico ambapo nao wanasuasuaMnajidanganya tu hamna mtu kati ya hao atakayekuja kwenu mtakoma kumfukuza costa![]()
![]()