Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa mashabiki wa Chelsea,
Ijumaa tunatarajia kukutana pamoja pale TOMONI Victoria karibu na kona ya kwenda Mwananyamala kuanzia saa 12 jioni lengo ikiwa ni kufahamiana na kupanga pamoja kuhusu sherehe yetu tunataka iweje wakati huu ambao kuna juhudi mbalimbali zikiendelea kufanikisha hilo,kila shabiki wa Chelsea atakayefika atapata juice moja bure(Yaani ushalipiwa ) kigezo cha kutambulika ni kuja na simu yako na kutuonesha group la Chelsea ulilopo,Kwa kuzingatia kuwa kuna wengine wana ugomvi ama hawatumii Juice ‍♂ basi tumeruhusu mtu kujibebea kinywaji hasa vinywaji vikali, kutakuwa na nyama choma la kiSouth(Hii unajinunulia haijalipiwa ) Bila shaka maelezo yamenyooka na yanaeleweka.

Mfahamishe kila mwana Chelsea kwenye groups mbalimbali.

*Imetolewa*
*Kitengo cha habari*
*Chelsea Tanzania*
 
watu wengi humu mnajua member wote wanapatikana dar es salaam.
Wengine tuko mikoani labda na sie wa mikoani tujiorganise
 
BREAKING NEWS

Chelsea have “serious and strong interest” in signing Manchester City striker Sergio Aguero, according to Sky sources.

Chelsea will sign a striker this summer to replace Diego Costa, who has been told he is not in Antonio Conte’s plans for next season.
 
UGBO JOINS TYKES

Chelsea youngster Ike Ugbo has joined Sky Bet Championship club Barnsley on loan for the season.

The England youth international scored 10 goals in Chelsea’s run to FA Youth Cup success.
 
BREAKING NEWS

Chelsea have “serious and strong interest” in signing Manchester City striker Sergio Aguero, according to Sky sources.

Chelsea will sign a striker this summer to replace Diego Costa, who has been told he is not in Antonio Conte’s plans for next season.
Huyu strike ndiye namkubali england
 
BREAKING NEWS

Chelsea have “serious and strong interest” in signing Manchester City striker Sergio Aguero, according to Sky sources.

Chelsea will sign a striker this summer to replace Diego Costa, who has been told he is not in Antonio Conte’s plans for next season.
mambo ndio haya sasa! sio unapoteza hela zako kw Lukaku ..........
 
BREAKING NEWS

Chelsea have “serious and strong interest” in signing Manchester City striker Sergio Aguero, according to Sky sources.

Chelsea will sign a striker this summer to replace Diego Costa, who has been told he is not in Antonio Conte’s plans for next season.
Mule muleee, big up content, hv hii habari ina ukweli? ?tungempata huyu jamaa ingekuwa bora sana sana
 
Screenshot_2017-07-18-01-15-17.png
I pray for this. ...
 
MMOJA KATI YA HAWA LAZIMA AM REPLACE DIEGO COSTA...!!

Alvaro Morata (Real Madrid),

426AB30700000578-4703080-Manchester_United_bid_for_Real_Madrid_striker_Alvaro_Morata_befo-a-53_1500289390523.jpg

Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund),

i

Andrea Belotti (Torino)

andrea-belotti-belotti-torino-belotti-fantacalcio.jpg

Sergio Aguero. (manchester city)

skysports-aguero-man-city_3900917.jpg

Vote Now.......

hapo morata muondoe kwene list. madrid wanataka pound 100M.

MMOJA KATI YA HAWA LAZIMA AM REPLACE DIEGO COSTA...!!

Alvaro Morata (Real Madrid),

426AB30700000578-4703080-Manchester_United_bid_for_Real_Madrid_striker_Alvaro_Morata_befo-a-53_1500289390523.jpg

Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund),

i

Andrea Belotti (Torino)

andrea-belotti-belotti-torino-belotti-fantacalcio.jpg

Sergio Aguero. (manchester city)

skysports-aguero-man-city_3900917.jpg

Vote Now.......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom