Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

CHELSEA BID €50m FOR SANDRO

Chelsea have offered €50m for Juventus full-back Alex Sandro, according to Gazzetta dello Sport.

However, the report suggests the Serie A champions rejected the offer and have said they have no intention to sell the Brazilian.
SANDRO RECAP

Juventus claim they have rejected a bid from Chelsea for left-back Alex Sandro.

The Brazil international joined the Italian champions in 2015 and has been a regular member of a team that's won consecutive Serie A titles. Juve insist they won't sell any of their best players.
 
According to Italian daily general-Interest newspaper La Repubblica, Chelsea and Juventus have reached an agreement for Alex Sandro, following a fresh €60million bid from the Blues.

Alex Sandro has his heart set on a move to Chelsea and Juventus are looking to replace him with Mendy of Monaco.
 
d6e45c5b44512b63367670918511b54a.jpg

ec42d5a59940576e1571b03d671a47f7.jpg

c5a2ef2e10abe4f87c792608d5076b35.jpg
 
Kuelekea msimu mpya - si dhambi kufanya mipango ingawa waswahili wanasema mipango si matumizi., lakini haya yote at the end lazima uwe na FWEEZA.. ndiyo lazima fweeza itumike aka udambwidambwi.

Line up inaweza kuwa hivi mwanzoni mwa Msimu wa kutetea Ubingwa wa PL na kujaribu kulitwaa lile kombe lenye sifa lukuki na mihela kibao - UEFA CL. Mpenzi wa timu la uhakika - je unaonaje hapa? wabaya wetu watachomokamo kweli?

skysports-chelsea-possible-xi_3979753.jpg
 
Mbona nasikia hakuna maelewano kati ya Conte na Maafisa hapo Chelsea

Wakuu embu wekeni sawa anayefahamu zaidi..! Isije ubingwa tukashindwa kutetea!
 
Conte anataka kusajili hata wale wenye age 30 as long as wana perform, soka la Italy haliangalii miaka kabisa. Sasa Policy ya Chelsea ukishagota miaka 30 huwezi kusajiriwa kama mchezaji mpya hapana, bali kama upo pale unaweza kuwa unapewa mkataba wa mwaka mwaka!!.

Kumbuka Lampard aligoma ku-sign ule wa mwaka mwaka akaondoka, Terry akasign wa mwaka mwaka - mwisho kaambiwa yatosha - anasepa.

Conte atakubali tu, sasa inabidi ageukie wachezaji wa chini ya miaka 26 ili kuwaleta kwa mikataba ya miaka 3 hivi.

Jicho la Conte ni kupata sign ya beki kisiki - huyu hapa.

skysports-kalidou-koulibaly-napoli-crotone-serie-a_3943985.jpg
 
Wachezaji gani over 30 ambao Conte ametaka kuwasajili?
 
Leonardo Bonucci is an Italian professional footballer who plays as a centre-back for Serie A club Juventus and the Italian national team.

Born: May 1, 1987 (age 30), Viterbo, Italy
Height: 6′ 3″
Weight: 181 lbs
Spouse: Martina Maccari (m. 2011)
Salary: 1.7 million EUR (2012)
Current teams: Juventus F.C. (#19 / Defender), Italy national football team (#19 / Defender)

Roman Abramovich blocks Antonio Conte from signing Juventus star Leonardo Bonucci
 
Conte anataka kubadilisha mfumo alioutumia kuchukua ubingwa so anaitaji wachezaji hawa colibaly Sandro morata n'a lukaku n'a amesema hatasaini mkataba mpya mpaka wachezaji hao wasajiliwe

Conte anadai anataka wachezaji hao wasajiliwe haraka ili atengeneze mfumo mpya wa uchezaji Kabla league haijaanza
 
Leonardo Bonucci ni world class defender licha ya huo umri wake ukitaja 3 best CB duniani yupo Conte/Pep walitaka kutoa hata paundi mil 50 kwa sababu anafit kwenye mifumo yao ,CB bora wengi wanafika kwenye peak kwenye huo umri.Pepe,Ramos,Boateng,Koscielny,Chiellini,Thiago Silva,Pique,Mascherano,Godin,Kompany wote wameshafikisha huo umri,Mourinho alichukua ubingwa CB walikuwa JT & Cahill .Kuna tatizo kubwa kwenye uongozi wa Chelsea unaosababisha makocha wengi kufukuzwa(Ancelloti,Di Matteo,Jose) chanzo ni Technical Director Michael Emenalo(Roman anamuamini sana),msimu uliopita Conte hakupata wachezaji aliowataka Bonucci,Koulibally,Manolas,Naingollan & Morata ikabidi amshawishi Matic asiondoke Emenalo akawaleta Luiz,Mitchy ambao hawakuwa chaguo lake.Kuna trend kila kocha aliyechukua kombe Chelsea msimu unaofuatia anafukuzwa kazi (Ancelloti,Di Matteo,Benitez,Mourinho)Conte hataki yamkute ndio maana anataka uongozi usajili wachezaji anaowataka mapema asije akawakosa
 
Kuelekea msimu mpya - si dhambi kufanya mipango ingawa waswahili wanasema mipango si matumizi., lakini haya yote at the end lazima uwe na FWEEZA.. ndiyo lazima fweeza itumike aka udambwidambwi.

Line up inaweza kuwa hivi mwanzoni mwa Msimu wa kutetea Ubingwa wa PL na kujaribu kulitwaa lile kombe lenye sifa lukuki na mihela kibao - UEFA CL. Mpenzi wa timu la uhakika - je unaonaje hapa? wabaya wetu watachomokamo kweli?

skysports-chelsea-possible-xi_3979753.jpg
Hapo Azipilicueta haezi tokea benchi, kama ikiwa hivyo Moses ndio atatokea benchi
 
BREAKING NEWS

Sky sources: Chelsea join Liverpool and Manchester City in race to sign Alex Oxlade-Chamberlain from Arsenal.
 
Conte anataka kubadilisha mfumo alioutumia kuchukua ubingwa so anaitaji wachezaji hawa colibaly Sandro morata n'a lukaku n'a amesema hatasaini mkataba mpya mpaka wachezaji hao wasajiliwe

Conte anadai anataka wachezaji hao wasajiliwe haraka ili atengeneze mfumo mpya wa uchezaji Kabla league haijaanza
please mkuu weka source of your information
 
Hii timu mbona haisajili zaidi ya tetesi tu.. Tunachoka bhana
 
Leonardo Bonucci ni world class defender licha ya huo umri wake ukitaja 3 best CB duniani yupo Conte/Pep walitaka kutoa hata paundi mil 50 kwa sababu anafit kwenye mifumo yao ,CB bora wengi wanafika kwenye peak kwenye huo umri.Pepe,Ramos,Boateng,Koscielny,Chiellini,Thiago Silva,Pique,Mascherano,Godin,Kompany wote wameshafikisha huo umri,Mourinho alichukua ubingwa CB walikuwa JT & Cahill .Kuna tatizo kubwa kwenye uongozi wa Chelsea unaosababisha makocha wengi kufukuzwa(Ancelloti,Di Matteo,Jose) chanzo ni Technical Director Michael Emenalo(Roman anamuamini sana),msimu uliopita Conte hakupata wachezaji aliowataka Bonucci,Koulibally,Manolas,Naingollan & Morata ikabidi amshawishi Matic asiondoke Emenalo akawaleta Luiz,Mitchy ambao hawakuwa chaguo lake.Kuna trend kila kocha aliyechukua kombe Chelsea msimu unaofuatia anafukuzwa kazi (Ancelloti,Di Matteo,Benitez,Mourinho)Conte hataki yamkute ndio maana anataka uongozi usajili wachezaji anaowataka mapema asije akawakosa
mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, tunaweza kuwa tunamlaumu emenalo lakini bila kujua hao wachezaji walikataliwa na vilabu vyao kuuzwa na kibaya zaidi chelsea ilikuwa haishiriki uefa hivyo kuwashawishi wachezaji wa calibre uliowataja kuja chelsea bila uefa ilikuwa ni ngumu.

Nakumbuka wakati tunamchukua hazard nadhani ni msimu wa 2012/2013 kuna timu nyingi zilikuwa zinamuwania aliulizwa ni nini kilichokuvutia kwenda chelsea alisema amependa kwenda timu iliyobingwa mtetezi wa uefa, kumbe kubeba ubingwa wa uefa uliisaidia chelsea kumpata hazard. Kutokana na hilo unaona kwamba wachezaji walio wengi wa ulaya wenye uwezo mkubwa wanapenda sana timu inayoshiriki uefa kuliko isioshiriki kama ukitaka kuwasajili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom