chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,241
- 3,939
kwa kukusaidia tafuta rekodi yake ya ufungaji ktk uefa tulioshiriki mara ya mwisho tuliokuja kutolewa na psgDiego aliwaangushaje huko UEFA ?
kwa kukusaidia tafuta rekodi yake ya ufungaji ktk uefa tulioshiriki mara ya mwisho tuliokuja kutolewa na psgDiego aliwaangushaje huko UEFA ?
Alitengenezewa nafasi akakosa magoli ya wazi ?kwa kukusaidia tafuta rekodi yake ya ufungaji ktk uefa tulioshiriki mara ya mwisho tuliokuja kutolewa na psg
mimi ninamuongelea diego siyo hazardAlitengenezewa nafasi akakosa magoli ya wazi ?
Hazard amefunga magoli mangapi huko UEFA
muache tu atie hurumaWakuu Costa akikataliwa na timu hizo kubwa inakuwaje mbona anatia huruma sana!
Na Kocha hamtaki.
Diego aliwaangushaje huko UEFA ?
Mimi naona kabisa lukaku hafiti Chelsea kabisa jamani
atamreplace nani sasa paleHuyo sandro yuko vizuri kweli tukimpata itakua vizuri
Sandro ni leftback watapeana challenge na Alonsoatamreplace nani sasa pale
Sandro ni leftback watapeana challenge na Alonso
mkuu umerudi? Tulishakuzoea hata ubingwa ulisema hatuchukui subiri tumchukue ndiyo utajua chelsea ni ya mtu mmoja au vipiSandro atoke Juventus aje Chelsea?
Atoke team taasisi aje kwenye team ya mtu mmoja!
Acheni kuota bana
ok kumbe itakuwa njema vipi sasa kuhusu ake sasa?Sandro ni leftback watapeana challenge na Alonso
Kwan man unted ni taasisi mkuuSandro atoke Juventus aje Chelsea?
Atoke team taasisi aje kwenye team ya mtu mmoja!
Acheni kuota bana
Mkuu uendeshwaji wa man u na Chelsea ni tofautiKwan man unted ni taasisi mkuu
Mbna pogba alkja unted sku hzi pesa inaongea