Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Sky Sport Italia claim Antonio Conte is increasingly irritated at Chelsea directors for not buying players he requested and he could walk away.

This would not be new behaviour for the tactician, who did much the same with Juventus when leaving two days into pre-season training.

According to Sky Italia pundit Gianluca Di Marzio this evening, the rapport between Conte and Chelsea is “starting to crack.”
Ni kweli Conte hajafurahishwa kabisa na bodi ya Chelsea
Na yeye ni mtu mwenye msimamo anasimamia anachokiamini kama watamzingua basi anaweza kuondoka kama alivyofanya Juve
 
Sky Sport Italia claim Antonio Conte is increasingly irritated at Chelsea directors for not buying players he requested and he could walk away.

This would not be new behaviour for the tactician, who did much the same with Juventus when leaving two days into pre-season training.

According to Sky Italia pundit Gianluca Di Marzio this evening, the rapport between Conte and Chelsea is “starting to crack.”
BREAKING NEWS

Antonio Conte is committed to Chelsea and will return for pre-season in the first week of July, according to Sky sources.

There were reports this morning that he's not happy with Chelsea over a lack of singings. But we understand he is happy at the club and those reports are false.

Chelsea are calm over the speculation, which they consider to be unfounded, and sources at the club say it is business as usual.
 
Yule kichaa anaweza kuondoka kweli nafikiri wamwachie kila kitu afanye yeye
Nadhani tatizo kwa Chelsea ni Mariana Granovskaia na Michael Emenalo kutaka kusajili wachezaji ambao wao wanaona wanafaa na kuacha kufwata matakwa ya kocha. Ni kitu ambacho makocha wengi hawapendi na hiki nadhani ndio bado kuna shida kati ya hao watu na Conte na ndio maana mpaka sasa kunafununu tu hakuna usajili. Nimaoni yangu tu, lakini hebu tusubiri tuone.
 
Chelsea itaanza kutambulisha wachezaji waliosajiliwa mara baada ya kuzindua jezi mpya za Nike kuanzia July 1
Hii ishu ndio inachelewesha mambo wadau
Chini ya carpet huenda tumeshasajili tayari
sidhani kama kuna ukweli yaani mpaka julai wachezaji wote wa maana watakuwa wamechukuliwa
 
Hakika msimu uliopita ulikuwa bora sana kwake kwani aliifanya Chelsea kucheza vizuri sana na katika msimu wake wa kwanza tu na klabu hiyo ya Uingereza kocha huyo alifanikiwa kutwaa kikombe cha ligi ya Epl.

Baada ya ligi kuisha mambo yanaonekana sio mazuri kwake kwani watu wake wa karibu wamekuwa wakidai Antonio Conte hana furaha Uingereza haswa kutokana na vyombo vya habari vinavyomuandika kocha huyo.

Wiki za karibuni kocha huyo amekuwa akiandikwa sana katika vichwa vya habari vya magazeti na mitandao mbalimbali baada ya kuibuka tuhuma za kumtumia Diego Costa ujumbe mfupi kwenye simu akimuambia hamtaki.

Inafahamika kwamba tangu Conte akiwa nchini Italia anapenda maisha ya kutotokea sana katika vyombo vya habari lakini hali inayotokea Uingereza inamsumbua sana kichwa na imekuwa ikimkosesha raha.

Lakini pia taarifa zinadai mmiliki wa klabu ya Chelsea Roman Abromovich umekuwa tatizo sasa na ndio sababu hadi sasa Chelsea hawajasajili kwani tajiri pesa aliyotoa ya usajili ni ndogo kuweza kununua wachezaji wakubwa.

Antonio Conte ana ndoto za kubeba kombe kubwa la Champions League lakini tayari ameona bajeti ndogo ya usajili aliyopewa inaweza kuwa kikwazo kwake kuchukua kombe hilo na hii imemfanya kukosa raha.

Ripoti zinasema Conte sasa amechukia zaidi kwani amekuwa akiahidiwa tu kuhusu kununua wachezaji lakini pesa hapewi na sasa anataka kuonana moja kwa moja na Roman Abromovich au Marina Granovaskia ambae ni kati ya wafanya waamuzi wakuu wa Chelsea.

Conte pia anakosa raha kutokana na kukosa control ya academy ya soka ya Chelsea na mambo yote hayo yanamfanya kuanza kuwaza kuondoka lakini bado kuna nafasi kubwa ya kubaki kwani Roman anafuatilia kwa karibu kutaka kununua majina makubwa ikiwemo Lukaku na Morata
 
Go check out
chelseafc.tanzania
Insta..
hii ni kwa washabiki wanazi
suprise na zawadi kibao msimu mpya wa 2017/2018
official na tetesi zote
welcome all
 
Habari Tanzania
Napenda kuitambulisha kwenu page mpya ya washabiki wa chelsea Tanzania.
Page itakua na habari zote muhimu kwa ajili yako mnazi wa chelsea
Mawazo yenu ni muhimu kama ilivo support yenu
tegemea surprise na event nyingi msimu wa 2017/2018
naomba mnisaidie kushare ujumbe huu kwa wote
Inapatikana
chelseafc.tanzania
Instagram
welcome all
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom