Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, tunaweza kuwa tunamlaumu emenalo lakini bila kujua hao wachezaji walikataliwa na vilabu vyao kuuzwa na kibaya zaidi chelsea ilikuwa haishiriki uefa hivyo kuwashawishi wachezaji wa calibre uliowataja kuja chelsea bila uefa ilikuwa ni ngumu.

Nakumbuka wakati tunamchukua hazard nadhani ni msimu wa 2012/2013 kuna timu nyingi zilikuwa zinamuwania aliulizwa ni nini kilichokuvutia kwenda chelsea alisema amependa kwenda timu iliyobingwa mtetezi wa uefa, kumbe kubeba ubingwa wa uefa uliisaidia chelsea kumpata hazard. Kutokana na hilo unaona kwamba wachezaji walio wengi wa ulaya wenye uwezo mkubwa wanapenda sana timu inayoshiriki uefa kuliko isioshiriki kama ukitaka kuwasajili.
Matatizo ya Emenalo hayajaanza leo tangu enzi za Di Matteo huyu jamaa ndio alimletea Mourinho wachezaji ambao hawajui kabisa kina Dilobobodji,Baba Rahman,Kenedy .Licha ya mafanikio yake Conte aliondoka Juventus baada ya kuona uongozi hautaki kusajili wachezaji anaowataka.Roman anampenda sana ndio maana tangu aajiriwe ni makocha tu ndio wanaondoka ila yeye yupo but ni kikwazo kikubwa kwa makocha kwenye kufanya kazi zao
 
Kuna taarifa kuwa Antonio Conte amekaribia kusaini mkataba mpya na Chelsea
Bila shaka hii itakua taarifa njema kwani itazima tetesi zote kuwa alitaka kuondoka
Source sky sport
 
Matatizo ya Emenalo hayajaanza leo tangu enzi za Di Matteo huyu jamaa ndio alimletea Mourinho wachezaji ambao hawajui kabisa kina Dilobobodji,Baba Rahman,Kenedy .Licha ya mafanikio yake Conte aliondoka Juventus baada ya kuona uongozi hautaki kusajili wachezaji anaowataka.Roman anampenda sana ndio maana tangu aajiriwe ni makocha tu ndio wanaondoka ila yeye yupo but ni kikwazo kikubwa kwa makocha kwenye kufanya kazi zao
Ni kweli kabisa ulichosema, huyu jamaa ni jipu kabisa kabisa. Na sijui Abromovich anampendea nini huyu.
 
CHELSEA INTEREST IN ALVES

Some more Chelsea news, as Sky in Italy are reporting they are the latest Premier League club to show an interest in signing Dani Alves.

The champions have joined Manchester City in considering a move for the Juventus right-back, who won a league and cup double last season in his first year in Italy.

Meanwhile, Chelsea are set to confirm the arrival of new back-up goalkeeper Willy Caballero soon as the former Man City player passes medical.
 
758252e24bef333439731c5d03810326.jpg
 
ROBERT LEWANDOWSKI TO CHELSEA ?

Chelsea and Manchester United have both held preliminary talks to try to lure Bayern Munich’s striker to the Premier League, Sky Sports News HQ understands.

The Polish forward is unhappy at Bayern and has made it clear he feels manager Carlo Ancelotti and his team-mates let him down last season.

Sky Sports News HQ’s Guillem Balague says both Chelsea and Manchester United have spoken to Lewandowski’s representatives.

He believes Lewandowski’s preferred choice at this stage is Stamford Bridge. However, United are thought to be very keen on landing the 28-year old forward and held talks as recently as yesterday.

The striker signed a new contract with Bayern in December, keeping him at the club until 2021, but was "disappointed" over a perceived lack of support at Bayern in his hunt for the golden boot.

He told the Polish Super-Express: "I was not really happy with how my team helped me. I was annoyed and disappointed with the team's attitude.”
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom