chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,241
- 3,939
hafai muache aende yaani kila mechi mawazo yake ni kupiganaanaweza akabaki tu chelsea hadi hiyo january ndio akauzwa au aende china kabisa
hafai muache aende yaani kila mechi mawazo yake ni kupiganaanaweza akabaki tu chelsea hadi hiyo january ndio akauzwa au aende china kabisa
anaweza akabaki tu chelsea hadi hiyo january ndio akauzwa au aende china kabisa
Karma is a bitch, they treated mourinyo very unfairlyIla hili swala la Costa utafikiri linaharibu image ya team na Conte mwenyew maan kuna sehemu nyingine wachezaji wengine wanasema Conte kam treat vibaya Costa
Duuh sasa hiyo kweli ilikuwa too much lakini sishangai ndio tabia za costa na ndivyo alivyo nikizingumzia kuwa ana nature ya ukorofiZa chini chini ni kuwa Conte alimvumilia sana Costa..inasemekana alikuwa mchezaji asiye na nidhamu kbsa uwanjan na nje ya uwanja..mara siku zngne alikuwa analazimishwa kucheza au pia akizingua ndani anaforce apewe sub..siku ya sherehe kuna mvinyo ulitengwa special ufunguliwe na kocha kwa ajili ya kuanzisha sherehe za ubingwa lkn jamaa alifungua mvinyo huo bila kujali heshima kwa kocha na kuugawa kwa wenzie na badae kulewa na video zake kusambaa akishangilia na boksa huku akibambia wenzie..inshort ni kwmba kavumiliwa sana kinidhamu akashindikana
mkuu nikama uko akilini mwangu ni bora tumtegemee bat man lakini siyo diegoZa chini chini ni kuwa Conte alimvumilia sana Costa..inasemekana alikuwa mchezaji asiye na nidhamu kbsa uwanjan na nje ya uwanja..mara siku zngne alikuwa analazimishwa kucheza au pia akizingua ndani anaforce apewe sub..siku ya sherehe kuna mvinyo ulitengwa special ufunguliwe na kocha kwa ajili ya kuanzisha sherehe za ubingwa lkn jamaa alifungua mvinyo huo bila kujali heshima kwa kocha na kuugawa kwa wenzie na badae kulewa na video zake kusambaa akishangilia na boksa huku akibambia wenzie..inshort ni kwmba kavumiliwa sana kinidhamu akashindikana
Ni kweli hilo linaweza kutokea. Au akaenda Ac milan kama tetesi zinavyosemaKocha keshambwambia hayupo kwenye mipango yake, hivyo hata akaibaki atafanya nini?, hawezi kupangwa wala kufanya mazoezi na timu, A Madrid wamsajiri tu na kisha wamtoe mkopo wa muda mfupi wa miezi mitano ama sita
Diego aliwaangushaje huko UEFA ?yaani diego alikuwa anatuangusha sana huko uefa ndiyo kabisa alikuwa anashindwa.Nimeyafurahia maamuzi ya kocha
Angefanya Mourinho dunia nzima ingepiga keleleIla hili swala la Costa utafikiri linaharibu image ya team na Conte mwenyew maan kuna sehemu nyingine wachezaji wengine wanasema Conte kam treat vibaya Costa
Makelele yupi mkuu unae msema?Duh kweli wakuu mmemchoka Costa...ila Costa mbona ana improve kidogo kidogo!
Costa akiacha mahasira yake ni bonge la striker...the more wanafanya mazoezi, the more cohesion yake na patners wake inakuwa nzuri.
In my view tunahitaji mtu mwingine kwa nafasi ya Mitchy Batshuayi....na mtu huyo awe mmoja kati ya Tammy Abraham au Betrand Traore! Hawa madogo watasaidia kwenye FA, EFL, na ligi mara moja moja.
LA SIVYO..tuachane na habari ya kutafuta Striker..kama Costa ataondoka kweli basi tumchukue Sanchez..tucheze kama Spain na hao madogo warudishwe kikosini. Msimu ujao tutakuwa na mechi nyingi za kutosha.
Pale kati kwa Matic kwa kuwa tushampata Makelele hatuhitaji saana kuwa na Matic...tunahitaji mtu wa calibre ya Fabregas.
Defence...Cahill!!!! Sio mbaya ila...
Sure mkuu, watu wanamdiss tu mourinho bila sababu ya msingiAngefanya Mourinho dunia nzima ingepiga kelele