tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 26,023
- 25,430
Mmh! Kama kweli atasema hivyo hatuna budi ya kumpeleka Muhimbili achunguzwe afya ya akili.yule ni mchekeshaji kwani hujui
Mmh! Kama kweli atasema hivyo hatuna budi ya kumpeleka Muhimbili achunguzwe afya ya akili.yule ni mchekeshaji kwani hujui
Me mpya![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Karibu sana, umechagua timu Bora sana, timu ya wastaarabu huwezi sikia matusi kwa mtu wa Chelsea, umekaribia wakati mzuri ambao ndio tunachukua kombe, usijisikie mpweke, kuna jirani ztu poa huwa wanaingia humu BAK , mwanafyale Wacha1 , na wengineo hawana shida kabisa zaidi ya wivu tu kwa timu yetu
Me mpya![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kashanywea hana uwezo na utabiri wake feki...!!Malafyale bado atakuja humu awambie bingwa ni spuz maana Chelsea atapigwa mechi zote
Hongera kwa kujiunga na hawa. Ukiboreka huku karibu chamani kwetu tunakuja na mabadiliko makubwa sana msimu ujao. 🙂🙂🙂
me blue WA damu vo cmpya yani me mpya uzini humu tunadhani ni vema akachunguzweMmh! Kama kweli atasema hivyo hatuna budi ya kumpeleka Muhimbili achunguzwe afya ya akili.
Umemmaliza, tulikuwa tumetindikiwa washabiki wa Jinsia yako, tumefurahi na tutakulinda sana Dadaetu![]()
![]()
![]()
me blue WA damu vo cmpya yani me mpya uzini humu tu
Yani mm hapa nilipo nimevaa jezi na koti LA Chelsea mwezi mzma nguo zangu ni izo tu saiv I can't wait for Friday night weekend oyoooooooooooooo majirani km hawaoni matokeoUmemmaliza, tulikuwa tumetindikiwa washabiki wa Jinsia yako, tumefurahi na tutakulinda sana Dadaetu

Kutandika vigogo mfululizo kumetuwezesha kushinda kombe. Ili mtu ashinde lazima uwachape vigogo. Kama kibonde Crystal Palace kisingetutibulia na marehemu Man U wasingetukaba koo, sasa hivi kombe lingekuwa linahemea Darajani. Anyway, Ijumaa sio mbali. Let us wait eagerly to lift our cup mubashara! 😎😎😎😎😎😎😎Yani mm hapa nilipo nimevaa jezi na koti LA Chelsea mwezi mzma nguo zangu ni izo tu saiv I can't wait for Friday night weekend oyoooooooooooooo majirani km hawaoni matokeo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mkuu unawaza kama mimi. Lukaku ni mfungaji mzuri ila pressure ya timu kubwa haiwezi. Kama kweli tunataka kufika mbali champions league Conte atatakiwa kuchanga karata zake vizuri.Katika vitu ambavyo sitaki kusikia kipindi hiki cha usajili ni kumsajili lukaku ni bora morata mara mia huyu lukaku simkubali kabisa maana costa anaondoka tunahitaji mastriker wawili Adrea belote na alvaro morata bila kusahau mabaki 2
Mkuu, mawazo yenu hayako mbali sana na yangu. Kweli Lukaku ni mfungaji lakini ni spoon feeder....anategemea watu wamlishe tu....hawezi kutafuta na kukimbia na mipira. Staili yake haitofautiani sana na ya Costa....huyu anapoteza sana mipira na anapenda kujiangusha ovyo (tofauti na msimu wa kwanza alipoanza kazi Darajani). Costa naye auzwe tu ili tupase pesa za kununulia straika mpya. Ukiangalia mechi ya juzi ilikuwa tufunge magoli mengi lakini yeye kila akipewa mipira alikuwa anaipoteza kizembe kabisa na kuwapa wachezaji wenzake wakati mgumu wa kuitafuta. Hafai. Tunamhitaji striker mwenye nguvu na anayeweza kumiliki mpira kama Aguero.Mkuu unawaza kama mimi. Lukaku ni mfungaji mzuri ila pressure ya timu kubwa haiwezi. Kama kweli tunataka kufika mbali champions league Conte atatakiwa kuchanga karata zake vizuri.
Tutahutaji strikers wawili makini na wenye njaa muda wote, bila kusahau beki wa kumsaidia gary cahill maana msimu ujao sina uhakika kama ataendelea kuwa kama sasa.
Mkuu costa tayari ameshatangaza kuondoka mwishoni mwa msimu huu kuelekea China!Mkuu, mawazo yenu hayako mbali sana na yangu. Kweli Lukaku ni mfungaji lakini ni spoon feeder....anategemea watu wamlishe tu....hawezi kutafuta na kukimbia na mipira. Staili yake haitofautiani sana na ya Costa....huyu anapoteza sana mipira na anapenda kujiangusha ovyo (tofauti na msimu wa kwanza alipoanza kazi Darajani). Costa naye auzwe tu ili tupase pesa za kununulia straika mpya. Ukiangalia mechi ya juzi ilikuwa tufunge magoli mengi lakini yeye kila akipewa mipira alikuwa anaipoteza kizembe kabisa na kuwapa wachezaje wenzake wakati mgumu wa kuitafuta. Hafai. Tunamhitaji striker mwenye nguvu na anayeweza kumiliki mpira kama Aguero.
Katika vitu ambavyo sitaki kusikia kipindi hiki cha usajili ni kumsajili lukaku ni bora morata mara mia huyu lukaku simkubali kabisa maana costa anaondoka tunahitaji mastriker wawili Adrea belote na alvaro morata bila kusahau mabaki 2






Safi sana. Bora aondoke nipumue...yaani simpendi kabisa yule straika. Ningekuwa mm ndiye kocha ni afadhali nimchezeshe Bashway kuliko Costa.Mkuu costa tayari ameshatangaza kuondoka mwishoni mwa msimu huu kuelekea China!
Naona Ameamua kumfuata ramires kwenye hela nyingi