Ukimnyima zawadi hazard hata ya kwenye club wakati huu ndo ulikuwa miongoni mwa misimu bora kwake utakuwa unatafuta mengine, maana inasemekana hazard ana nyodo kinomaa
Nimesoma habari jana goal.com, lampard kwa mdomo wake anasema miongoni mwa vichwa vigumu ku-control ni hazard na akasema kipindi cha january kidogo wakosane na conte
Sasa jikute unamnyima zawadi yoyote kama hajasain madrid!!
Nikukumbushe tuu msimu uliopita, baada ya kuwafunga spurs lile goal la kuamua ubingwa weekend iliyofuata akapewa zawadi ya goal bora la mwaka la club wakati willian alikuwa na freekick ya soton na d'kieve zote zilistahili
So dont mess up with hazard!!! Ndo super star wetu lazima tubembeleze kama madrid kwa ronaldo au barca kwa messi though kwa mimi not only azip even pedro and luis did the best