Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Screenshot_2017-05-13-01-02-15.jpg
 
[Colour=blue]Kwa kweli sifa zimuendee Conte kuingia kwenye ligi na kubeba ndoo siyo mchezo aisee Amefanya kazi kubwa SANA kurudisha kiwango cha Pedro Kiukweli huyu ni yule Pedro wa Barca wa mwanzo kabisa, kwa upande mwingine niwape sifa zinazostahili HAWA wachezaji watano(5)..

1=DAVID LUIZ huyu amefanya kazi kubwa akiwaongoza wenzake ktk safu yote ya Ulinzi Hongera sana..

2=MARCOS ALONSO Huyu Tangu Conte alivyobadili mfumo na kutumia 3-5-2 and 3-6-1Huyu Amekuwa nguzo kubwa sana kati ya nafas ya ulinzi na kiungo...

3=KANTE huyu mnyama sina mengi ya kumuongelea hadi FA wenyewe walimuona na kumpatia tunzo ya mchezaji Bora Amefanya kazi kubwa akiwa na thaman ndogo ukimlingananisha na yule PogHairstyle na thaman yake kubwa ya mabilion Alichokifanya Kante Kilitarajiwa kifanywe na pogba hii Imedhihirisha wakati mwingine Kuwa na pesa nyingi cyo kupata mafanikio na Dunia haijawahi kuwa sawa siku zote...

4=VICTOR MOSSES Huyu MTU amekuwa Lulu Nadhani anaeumia sana ni mourinho alimdharau na kumuona hafai na kumtoa kwa mkopo hadi anaondoka darajani Lakini Conte kafanya kazi kubwa sana Huyu MTU kwa msimu huu amekuwa mwiba mkali upande wa kupandisha team na mambo mengine siku alizokosekana kulionekana kupwaya sana upande huo Hongera kwa huyu mnyama Kafanya kazi kubwa sana.

5=HAZARD Huyu MTU kwa msimu huu kawa mpya amezitesa sana safu za ulinzi za team Pinzani kwangu Mimi kwa kazi aliyoifanya simudai kabisa licha ya kwamba mwakani Tunamhitaji ktk kutengeneza team ya ushindani ktk UCL lakini hata Akiondoka kwenda Madrid au kwingine kwangu Mimi simudai kabisa na nitamtakia kila Lakheri Hongereni sana Mashabiki wenzangu wa Chelsea Ubingwa wetu wa 2015 tuliowaazima Leicester mwaka Jana, Leo Umerudi Ahsante sana Conte[/color]
 
HONGERENI WANA CHELSEA WENZANGU, KWA KWELI TULISTAHILI JAPO TOTENHAM ALIONYESHA UPINZANI,
MECHI YA MAN U NA CRYSTAL PALACE ZILITURUDISHA NYUMA SANA, TUNGESHATANGAZA UBINGWA MAPEMA SANA

BADO TUNA KOMBE MOJA NA JIRANI ZETU
 
HONGERENI sana
Mmepigana vita vitakatifu kwa weredi mkubwa!
The genius Kocha Conte,wachezaji wanao jituma,technical stafd na MASHABIKI wote wa Chelsea popote mlipo hongereni sana!
Lkn mwakani MAJOGOO yanachukua ubingwa mechi 5 mkononi
hahaha wadau njooni muone huku amerudi nilifikiri hatarudi hahaha
 
HONGERENI sana
Mmepigana vita vitakatifu kwa weredi mkubwa!
The genius Kocha Conte,wachezaji wanao jituma,technical stafd na MASHABIKI wote wa Chelsea popote mlipo hongereni sana!
Lkn mwakani MAJOGOO yanachukua ubingwa mechi 5 mkononi
Ahsante sana mzee wa majogoo... tunakuombea na wewe ufanikiwe kubaki Top 4 ili next season tukapambane wote kurudisha heshima ya Epl kule UEFA CHAMPIONS LEAGUE
 
Msimu mzuri kwa chelsea never experienced.

Fa cup U18 2016/17. Madogo wamebeba. Hili sasa wamebeba Mara tano mfululizo.

EPL champion league 2016/17. Leo wanatawazwa mabigwa mpaka sasa wanaongoza 1 dhidi ya Leading.

Wakubwa wa London.

FA cup tutacheza finali 27/5/2017. Posibility ya kubeba upo.

EPL champion league tunaongoza kwa point 7 mbele ya Spurs. Kuna posibility ya kutawazwa Leo mabigwa....Rahaa sana kuwa na timu kama ya chelsea.#comeonechelsea#
Mkuu inaonekan uko vizuri sana kufanya followup. Je madogo wamebeba au Reading wamebania?
 
HONGERENI sana
Mmepigana vita vitakatifu kwa weredi mkubwa!
The genius Kocha Conte,wachezaji wanao jituma,technical stafd na MASHABIKI wote wa Chelsea popote mlipo hongereni sana!
Lkn mwakani MAJOGOO yanachukua ubingwa mechi 5 mkononi
Ahsante sana Mzeee wa kujifariji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom