Wana chelsea hili wala sio kombe la kujadili tena tumeshalibeba
Kweli tunachanagamoto kubwa sana ya mwakani, kwani tuna EPL, UEFA, FA na Kombe la Ligi, hapo lazima uwe na kikosi cha ziada na pia wachezaji kama Victor na Alonso wanapashwa kuwa wanapumzika kwa mechi za FA na KOMBE LA lIGI ili waweze kuperform vizuri, hivyo tunahitaji kikosi kipana sana,
Hazard japo tunampenda sana anaweza kuachiwa kwa say 110 mpaka 120, na fedha hiyo inaweza kupata striker wa 40, na middle moja
Nadhani beki wako wengi tu, ni kuwarudisha na kuwaweka fit, kuna Zouma, Baba, Ake, Cahil, Azip, Luis, Alonso nk
Pia mtu kama Fab sio wa kuachwa kwani atatusaidia sana kwenye UEFA
HONGERENI WANA CHELSEA WENZANGU THE TRU BLU