Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Na mimi nipo jamani...
ae165e61bb21ca7e535792b7fd36b84b.jpg
 
Msimu mzuri kwa chelsea never experienced.

Fa cup U18 2016/17. Madogo wamebeba. Hili sasa wamebeba Mara tano mfululizo.

EPL champion league 2016/17. Leo wanatawazwa mabigwa mpaka sasa wanaongoza 1 dhidi ya Leading.

Wakubwa wa London.

FA cup tutacheza finali 27/5/2017. Posibility ya kubeba upo.

EPL champion league tunaongoza kwa point 7 mbele ya Spurs. Kuna posibility ya kutawazwa Leo mabigwa....Rahaa sana kuwa na timu kama ya chelsea.#comeonechelsea#
 
Furgason itakua imemuuma sana maana alijifanya anamzarau sana conte kua hawezi chukua ligi sasa kachukuaa ..ujumbe umfikie
Nakumbuka kwenye listi yake hakumwesabu kabisa conte kwenye mbio za ubingwa......Aibu yake. Next week tunapigiwa makofi[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom