chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,400
- 4,392
Sijui kama bashuai atauzwa tena kwa alichotufanyia leo ni kama vile yeye ndiye mwenye ufunguo wa bahati
Wamebeba. Madogo wamemnyuka Reading 3 bashite.Mkuu inaonekan uko vizuri sana kufanya followup. Je madogo wamebeba au Reading wamebania?
Pamoja na majungu yote. Bado hatukukata tamaaa. Nao majirani wamenuna sisi tunapigiwa [emoji122] [emoji122] [emoji122]hongereni sana wadau, mmepigana kweli hatimae mmefanikiwa[emoji122] [emoji122] [emoji122]
mentor, Ntuzu, kunguru mjanja, fablo can, kituko, kalou na wengineo mmestahili[emoji109]
Shukuran sana mkuuhongereni sana wadau, mmepigana kweli hatimae mmefanikiwa[emoji122] [emoji122] [emoji122]
mentor, Ntuzu, kunguru mjanja, fablo can, kituko, kalou na wengineo mmestahili[emoji109]
hongereni sana wadau, mmepigana kweli hatimae mmefanikiwa[emoji122] [emoji122] [emoji122]
mentor, Ntuzu, kunguru mjanja, fablo can, kituko, kalou na wengineo mmestahili[emoji109]
Nadhani mimi nipo kwenye hilo group la wengineo anyway,a big thanks mkuu.hongereni sana wadau, mmepigana kweli hatimae mmefanikiwa[emoji122] [emoji122] [emoji122]
mentor, Ntuzu, kunguru mjanja, fablo can, kituko, kalou na wengineo mmestahili[emoji109]