Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 699
Hii ingetoka tarehe 1April ingependeza sana, huenda ingekuwa article of the day.
Hahahahaha! Hilarious! Naona kuna joke hapo imejificha ikielezea matokeo ya UK Election.
Hii ingetoka tarehe 1April ingependeza sana, huenda ingekuwa article of the day.
Mkuu...Arsenal tunaongoza kwa goli 2 so far(Arshavin dk ya 21 na Van Persie dk ya 26)Wakati huohuo Arsenal bado hawajapata goli lolote na Tottenham wanaongoza kwa goli moja dhidi ya Burnley
Mkuu kumbe upo?Chelsea 2 Wigan 0....Lampard(pen).....Caldwell kalambwa red
Hongera mkuu, maana kupitwa na Tot noma sanaMkuu...Arsenal tunaongoza kwa goli 2 so far(Arshavin dk ya 21 na Van Persie dk ya 26)
Mkuu kumbe upo?
Nadhani Fugerson akipata taarifa hizi kabla ya 45 za mwanzo anaweza kuudhika, heri asijue hahahaha
Hongera mkuu, maana kupitwa na Tot noma sana
Mkuu wana magoli mawili, la pili kafunga GiggsNipo mkuu...Babu kadata kule........japo washapata goli moja tayari.....Ubingwa ni wenu mkuu
Hongera mkuu, maana kupitwa na Tot noma sana
Mkuu wana magoli mawili, la pili kafunga Giggs
Leo ndo timu zinaonyesha kukamia sana, mechi hizi mbaya sana hahahahaDah...yaani tunakumbuka shuka wakati kumekucha...hahaaaaa...Fulham wamejifunga...Arsenal 3 Fulham 0