Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,508
- 911,249
Dakika ya 81 Chelsea 2-1 ManCity
Mpira alioupiga Alonso leo Ake haoni ndani.Alonso sio mzuri kama AKE kwa mtazamo wangu
Majogoo yako yamebanwa mbavuJamani hapa mnaendeleaje?
Majogoo yanachukua EPL
Jumatano yanabakiza points 7 Jumatano
Man City anakupiga!