CHELSEA 2-1 MANCHESTER CITY, Premier League: Post-match reaction
We're Back to winning, baby!
Mara baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Crystal Palace weekend iliyopita, Chelsea iliwakaribisha Manchester City kuwaonjesha upepo mzuri katika dimba la Stamford Bridge, hii ilikuwa match kali kwa team zote zikiwa na malengo tofauti tofauti juu ya matumizi ya hizo points tatu; vijana wa Pep Guardiola walionekana kuutawala mchezo in terms of possession but the Blues ndo waliofanya kitu kinacho matter the most katika soccer; baada ya kuzibakiza points zote tatu mbele yao wanaojiita our direct title rival kwa kuwatundika mabao mawili kwa moja.
Kabla ya game nilipatwa na wasi wasi baada ya kuiona line-up ikiwa na Kurt Zouma kwenye backline huku Cesc Fabregas akianza kwenye midfield, but Mungu ni mwema, wamefanya kazi nzuri mno.
Ilikuwa eventful game kama tulivyo tegemea, kwamba Manchester City wange dominate mipira huku wakipiga ma shot ya hapa na pale; but Chelsea walikuwa more efficient mwanzo mwisho.
Game ilikuwa level baada ya Kurt Zouma ambae amerejea kutoka kwenye Injury kumpisha Nemanja Matic ambae alikuja ku strengthen midfield yetu, huku César Azpilicueta ambae aliitendea haki right win back akarejea kwenye centre back.
Kama kawaida yake Eden Hazard kwa mara nyingine tena alisimama kiume katika big game kwa ajili yetu huku akiibuka shujaa kwa kutupia mabao yote mawili.
Ilikuwa powa sana kumuona Pedro Rodriguez akirudi kwenye original position yake, aliwaweka busy ma defenders wa City kitu kilichopelekea tuta lililozaa bao la pili.
Pamoja na kuwazawadia Manchester City bao katika first half, Thibaut Courtois alikuwa na good interventions kadhaa wa kadhaa.
Oh, Diego... tumekumiss sisi mashabiki, tikisa kamba mnyamwezi acha kuwachekea wapinzani.
Nijuwavyo mimi ushindi siku zote ni matokeo matamu, especially siku kama hii ambapo Tottenham almost waangukie pua dhidi ya Swansea.
Mpaka sasa ni only 8 games zimebaki