Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naona spurs wazee kunyata wanatunyatia ila ashukuriwe mungu kwa arsenal ambaye anamuweza ,man u hanaga ujinga nae na lecister anayekwenda kulipa fadhila.
vipi hizo ni fixture za toten zilizobaki ngumu nini?
 
Kka una roho ngumu, kama team yako Man U wamechesha kwa nini unakereka kwa Chelsea kuchukua kombe?
Sishabikii Totenham kwa mkopo, mimi ni shabiki namba moja wa hii timu hapa tanzania.
Tukutane kwenye sherehe za ubingwa.
 
What do you observe from this couple.
fd037e14f39945942cccd45614e44d44.jpg
 
Ila wakuuu tunatakiwa kuwa makini sana, haya mambo ya kujiaminisha ubingwa wakati totenham wanatupumulia kwa speed ya supersonic. . si nzuri kabisa. .
Konte anatakiwa abuni mbinu zaidi za ubunifu..

Nawaona totenham ni hatari kuliko tunavyowadhania.. Na hili alishalisemea konte mapema sana..
 
Bournemouth vs Chelsea FC - Chelsea Team news

Victor Moses is back in contention when Premier League leaders Chelsea play at Bournemouth on Saturday.

The right wing-back missed Saturday's loss to Crystal Palace and Wednesday's win over Manchester City with a toe injury.

Chelsea have no other injury concerns.

Provisional squad: Courtois, Begovic, Fabregas, Zouma, Alonso, Kante, Hazard, Loftus-Cheek, Moses, Pedro, Costa, Matic, Willian, Batshuayi, Cahill, Terry, Azpilicueta, Chalobah, Luiz, Eduardo, Aina, Ake.
 
Bournemouth vs Chelsea FC - Match stats


Bournemouth have lost six of their eight games against Chelsea in all competitions (W2). Their only win at home came in their first game against them in September 1988.

After losing 1-0 to the Cherries in December 2015, Chelsea have won their last two against Bournemouth netting seven goals.

Eden Hazard has scored three times in three previous Premier League appearances against Bournemouth.

Antonio Conte's side have won 33 points from their 15 away games so far in 2016-17; only twice in Chelsea's history have they picked up more points at this stage of the season (35 in 2003-04 and 38 in 2004-05).

The Blues have lost only once in their last 12 Premier League away matches, winning nine (D2).

Bournemouth have won consecutive Premier League fixtures at the Vitality Stadium, netting five goals in the process. They could win three in a row for just the second time in the competition (also in October 2016).

Josh King has doubled his Premier League goal tally from last season (six) with 12 goals, scoring nine goals in his last 10 Premier League appearances for the Cherries

King has been directly involved in five goals in his last five Premier League appearances at the Vitality Stadium (four goals, one assist).

Diego Costa has netted just one goal in his last five away appearances in the Premier League, this after scoring eight in his previous nine this season.

Costa hasn't scored in any of his last three Premier League appearances and he's never gone four in a row in the competition without scoring. The last time he did this in league competition was in La Liga with Atletico Madrid in January 2014.

supplied by Opta
 
Screenshot_2017-04-07-20-04-47-1.png

Kocha wa Leicester City aliyeondolewa kibaruani hivi karibuni, Claudio Ranier, alitembelea uwanja wa Chelsea wa mazoezi leo na kupokelewa na Antonio Conte.
 
Malengo ya Chelsea ni kushinda game zote zilizosalia!
Dalili kubwa ya kuwa bingwa ni kushinda timu kubwa kama Man City bila kudharau timu ambazo zinaonekana ni dhaifu.
Chelsea iko very determined kuwa bingwa msimu huu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom