Ila kama nimemuelewa kocha wa Man city vilee...yani hapo kumuweka Navas, Delph na Fernandinho maana yake yupo tayari kubadilika sawasawa na sisi tutakavyobadilika.
Fernandinho anaweza kuja kushika holding, Delph na Sane wacheze pembeni.
Delph akibaki kati maana yake Fernandinho anakuwa beki wa kulia na Navas anakuwa wing wa kulia.
Kwa vyovyote vile nadhani wameamua kumtumia Alonso leo kama njia yao ya kupitia.
I hope Conte ameliona hili mapema na ataongea na wachezaji.