Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Tammy Abraham - bristol huyu jamaa ni drogba mpya tumrudishe haraka ni hatari tupu
 
huyu jamaa huwa anacheza mpira for fun ndiyo maana kipindi na mata yupo walikuwa wanacheza 1,2 kama ni rahisi kivile
kile kipindi mkuu kilikuwa kitamu sana, watu walikuwa wanapeana tu. Ila naona kama ile hali inarudi tena kati ya Pedro na Hazard
 
Asanteni sana wakuu, kwa kupewa uzi huu. Ila ni wetu sote tushirikiane kuambiana nini kiwepo kuupendezesha uzi huu

[HASHTAG]#KTBFFH[/HASHTAG]
Hongera mkuu

Invisible Maxence Melo nasi Fc Barcelona tunasubiria utuwekee mtu mwingine kama ulovyomuweka Kunguru mjanja akamatie uzi wa Chelsea

Barcelona muweke Red Giant au BlackPanther

Nina imani huwez onyesha upendeleo

[HASHTAG]#HAKI[/HASHTAG] SAWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom