Mkuu, nimepata painful sana kufungwa, nilijua tu zitatokea kelele kama hizi kwa rivals.Haah haah yaani jana tumecheza na dunia karibu yote,kila mtu alikuwa anaomba chelsea afungwe tu utadhani sisi ndo tumeshikilia pumzi zenu ila kumbukeni mara ya mwisho tulipopigwa nini kilitokea mpaka ile jana,wana chelsea tutegemee kuiona timu yetu ikiwa na hasira za kuwanyoa wath na chupa
Ntuzu
Mentor
kalou
Ndiyo EPL ilivyo,haina haja ya kutufukuza wageni hapa bali mjipange mechi ijayo na Leicester!Lkn nawakumbusha kuwa mfumo wa Conte ulikuwa exposed na Stoke week jana na ndipo Spurs wameufanyia marekebisho zaidi!
Kama Conte HAJAJA na mfumo mpya week ijayo na Leicester mbele pale Sliman na Vardy tena kwao wanakufunga!Poleni sana ndiyo soka
point ngapi tumekupita...????Jifariji tu, umekarishwa
Mtu mbaya sana, hana huruma, ni katili wa kutupwa, mungu anamuonaAlli
Sitaki hata kumsikia Dele Alli... kazima furahaMtu mbaya sana, hana huruma, ni katili wa kutupwa, mungu anamuona
Chelsea hawezi mfunga Liverpool hata wachezee Kaitaba KageraKawaida ya Mpira 2014/15 walitufunnga hawa hawa 5-3 tarehe 1/jan mkaongea hivyo hivyo ikafika sehemu tukalingana kila kitu na Man City ila mwisho wa siku tukawa mabingwa.
Wewe soma mpira wa Chelsea utakavyo ila usidhani bahati ya mwenzako ni yako. Kikosi hicho hicho na mfumo huo huo nakufunga nao.
Haya kaka, tusubiri tuone mechi itakuwaje. Wewe unaamini timu yako nami naamini timu yangu.Chelsea hawezi mfunga Liverpool hata wachezee Kaitaba Kagera
Heavy metal na beki Cahil?
Acha utani ndugu yangu!
Ila nakuhakikishia Cahill nizaidi ya Moreno wenu au Milner kwa ukabajiChelsea hawezi mfunga Liverpool hata wachezee Kaitaba Kagera
Heavy metal na beki Cahil?
Acha utani ndugu yangu!
Asante ndugu yangu.Happy new year 2017......poleni sana kwa kipigo.
Milner unamfananisha na trash CahilIla nakuhakikishia Cahill nizaidi ya Moreno wenu au Milner kwa ukabaji
Mkuu nimesema kwa ukabaji, means wakati Milner akiwa anacheza namba tatu. Yaan beki tatu, au hajawahi na hachezagi hii namba? Kufunga na Assist sio kazi ya CahillMilner unamfananisha na trash Cahil
Milner ana bao 5 na assists 3
How many goals and assists trash Cahil have?
Milner ni beki Liverpool kama tu CahilMkuu nimesema kwa ukabaji, means wakati Milner akiwa anacheza namba tatu. Yaan beki tatu, au hajawahi na hachezagi hii namba? Kufunga na Assist sio kazi ya Cahill
Kinachomfanya Milner kuwa na assist kibao ni anazozipata mara nyingi akiwa kiungo (ambapo kutoa assist au kupeleka timu mbele ni moja ya majukumu yake) sio akiwa kama beki tatu. Na magoli ya Milner yote Penalt.Milner ni beki Liverpool kama tu Cahil
Milner sio kiungo wala sio mshambuliaji
Lkn ana assists kibao
Chukua [emoji109] [emoji109] mkuuWakuu poleni sn kwa kupoteza mchezo wetu wa jana....
Nimeona walio chini yetu wamefurahi sn na ghafla uzi umevamiwa na kukimbia sn
Km nilivuyo sema jana huu mchezo hautakua na presha sn kwetu ata km tutapoteza kutokana na timu km Arsenal liverpool kupata matokeo ambayo sio mazuri...
Mpira wa jana ulifanana kila kitu kwa timu zote mbili aina ya uchezaji, mfumo na ata mbinu... Na Spurs hawakua wazuri km walivyokuja darajani kwa round ya kwanza. Spurs wasicheze kwa woga huku wakijaribu kutumia mipira mirefu iliyokua ikipigwa na mabeki wao na Eriksen...
Chelsea waliweza kuwatuliza Spurs na Spurs wakawa ni wa kawaida kwasababu zile pasi za Spurs fupi fupi hazikuonekana kabisa lkn hawa Spurs walitegemea pasi ndefu na ndizo zilizotuumiza.
Nimeona watu wakiwasifia sn Wanyama na Dembele kwamba Walikamata kiungo chote. Hili si kweli. Jana kiungo cha kati cha Spurs kilicheza bila uhuru kabisa kwasababu walikua makini ktk kuimarisha ulinzi na kutumia njia yoyote ile kuwazuia chelsea. Na tumeona rafu kadhaa wamecheza hawa. Chelsea midfielder yao ilikua imerelax vzr na wao wakifanya Marking vzr na kukata passes zote zisifike kwa Kane Dele kitu ambacho kilifanya Kane asionekane uwanjani na kumfanya Eriksen ashuke chini kuchukua mipira ili kapiga pasi ndefu.
Nimeona pia watu wakisema Walker na Rose walicheza sn hili nalo si kweli. Hawa Jamaa walikua ni waoga sn kuja hovyo mbele kwasababu wanajua wakipanda mbele hovyo huko nyuma wataadhibiwa.
Chelsea tulilungukiwa ktk umaliziaji tu. Hapo ndio tulishindwa. Tulishindwa kutengeneza nafasi nzuri na ata hizo chache tulizopata hatukuzitumia vzr. Lkn mchezo wa jana ulikua ni wa kawaida sn na uliojawa mbinu nyingi na kuviziana tu....
So far timu bado iko vzr na bado tunaongoza ligi kwa points 5
Sema kafunga penati 5,Milner hajawahi kufunga goal la open play.Milner anacheza fullback while Cahill ni centre backMilner unamfananisha na trash Cahil
Milner ana bao 5 na assists 3
How many goals and assists trash Cahil have?