Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,676
- 8,246
Habari rasmi zilizofika mitamboni ni kwamba marefa waliokuwa wachezeshe mchezo huu hawakuweza kusafiri kutokana na anga ya UK kuwa katika quarantine na waliapa hawawezi kusafiri kwa treni hivyo jitihada za mwisho mwisho za kubadili wasimamizi hao ndio chimbuko la kipigo cha leo. You need to blame mother nature Iceland ...... ..... hapa chini:
Khe khe khe khe kheeeeeeee