Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yaan hapo kuna bonge la utata kati ya Pedro na Willian.

Je, unaonaje kama Matic na Pedro wakaanza na Fab akaanza nyuma ya Hazard na Costa?
Hapo ndo penyewe "pedro & matic" ndani, nilikuwa nafatilia page ya chelsea "chelsea news now"-naona matic anakamatia dimba la chini huku pedro akiungana nahazard & costa.
 
Ujue na nyue chelsea ifike mahali mkubali kufungwa sasa maana mmezidi

Leo hebu muwaachie tot
 
Yeah, na naona odds za kuanza pedro ni nyingi, hata conte kaliongelea kuwa kuna wachezaji wawili ambao hawakucheza kwenye game ya stoke city(matic & pedro) leo watacheza. Ila sema nae anabadilishaga kikosi mda tu baada ya kuanza game, kama unakumbuka ile game costa ana 5th yellow card, wote tukajua its a chance to batshuay, matokeo yake akawachezesha "pedro+hazard+willian".
Unaweza ukashanga hata leo Costa akaanzia benchi na huko mbele kukawa na

HAZARD + PEDRO + WILLIAN.
 
Hahahaha
Tusha waelewa kuwa mmerud naona mna kaza kama magufuli vile
Achien kidogo ligi ipendeze
Mkuu leo usikose kuangalia game ngumu duniani on current days, hii game hata Elclassico haioni ndani, kama huamini, refer past game november zote zilikuwa siku moja hii na elclassico ila matokeo yake elclassico ilipoteza mvuto/ushindani kwa hii "london derby". Mda ni saa 5 za usiku.
 
Ntaenda kuichek ila tot ni wazembe sana kias hawanipi mzuka wa kwenda kucheki
 
Chelsea pigeni hao farasi weupe tuwe nao point sawa maana wameng'ang'a nafasi ya tano hawataki kumpisha Shetani Jekundu
 
Ntaenda kuichek ila tot ni wazembe sana kias hawanipi mzuka wa kwenda kucheki
Mkuu karibu sn ktk uzi wetu.....

Vipi waionaje hali ya Jose Mourinyo na Utd kwa sasa??? Nilikwambia Jamaa atawakomboa unaona sasa???
 
Mkuu karibu sn ktk uzi wetu.....

Vipi waionaje hali ya Jose Mourinyo na Utd kwa sasa??? Nilikwambia Jamaa atawakomboa unaona sasa???
Timu inashinda now kwa sasa sina tatizo nayo
Yes ulisema hilo i give you credit for that
Lakin lets wait and see maana Ligi bado inaendelea, mengi yana kuja na fixtures ngumu zaidi zinakuja lets wait
 
Timu inashinda now kwa sasa sina tatizo nayo
Yes ulisema hilo i give you credit for that
Lakin lets wait and see maana Ligi bado inaendelea, mengi yana kuja na fixtures ngumu zaidi zinakuja lets wait
Mkuu ata iwe fixtures ngumu kivipi Jose Mourinyo atawavusha salama tu.

Jamaa kaishaweka timu vzr sasaivi ni kutelemka tu. Kadabra sasaivi yuko nafasi ya pili kwa wafungaji wa Epl. Mnakuja vzr sn wakati huo City, Liverpool na Gunners mambo yao yako hovo....
 
Lets wait na mimi nilisema kama tuna shinda ntaweka silaha chini.
So now nasapot tuu.
Ni rahisi kumfariji mgonjwa wewe ukiwa mzima bhana @Ntunzu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom