Kwikwikwi, tambo nyingi kichiz wiki hii, kwa mpira nilivouangalia sioni kama hii gem chels anaweza kupata hata hiyo suluhuKutangulia sio kufika. This is Chelsea.

Kwa jinsi game ilivyoanza tu hadi goli linapatikana, kuna kila dalili hapa chels haondoki na point.Kutangulia sio kufika. This is Chelsea.



Yaan naona Willian anahitajika sana sana, kama nilivyosema awali nguvu hana za kupambana na mabeki wa Spurs. Faby akiingia kingo kitashikwa sana Dembele na Wanyama wanapiga kaziFor the second half we need Fabregas and Willian in the game even though Pedro hajafanya kosa lolote. I know Hazard ana enjoy dribbling but he needs to get serious and scoring. We don't want a draw, we want a win!
Acha kujikausha ndezi wwe sema leo huna uwezo wa kushinda hii gemu hata kama utaambiwa utakabidhiwa leo kombeIla leo chelsea akishinda ligi itapoteza ladha, bora tu tutoe sare au tufungwe for the sake of league taste, msinishambulie blues wenzangu.
Ha ha ha umeanza jihami league itapoteza ladha hutak kuvunja record ww?? Sema mnakaribia kushindwa na PochettinoIla leo chelsea akishinda ligi itapoteza ladha, bora tu tutoe sare au tufungwe for the sake of league taste, msinishambulie blues wenzangu.

hatujakimbia,..tunaangalia game kwa macho 3...bakiza matusi kuna half nyingine inakuja...KTBFFHMbona mmekimbia jukwaa njoni ndezi nyinyi, mchana nyote mlikua makocha apa, sasa imekuaje naona mnauchungulia uzi munarudi mbio, shenzyyyy
Hivi wewe unayeongea ndo yule hata ukishinda uko namba sita??! What a joke?Mbona mmekimbia jukwaa njoni ndezi nyinyi, mchana nyote mlikua makocha apa, sasa imekuaje naona mnauchungulia uzi munarudi mbio, shenzyyyy
Ericksen ni mtu hatari pia wana yule mchina waoUkiachana na Dembele, mtu hatari zaidi kumchunga ni Ericksen.
On to the second half..wakaanga sumu muda wenu wa kuuza chai huu baada ya game hamtapata wateja.
Mpigie Conte umwambie namba zake ni hizi +44 26 89 176 22Matic is good ila kwa game hii hatuhitaji nguvu kubwa kati maana mipira yao bado wanapitisha kwa wingmen.
Ngolo anatosha hapo kati. Ongeza mtu wa kutoa pasi ndefu accurate, Azpilicueta and Luiz wamejaribu ila unaona amnavyo passes zao zimekuwa poor.