Mkuu saizi nakuelewa, raia wengi wa chelsea wanachoshindwa kutofautisha kati ya fab vs matic, ni kuwa matic ni mzuri zaidi ya fab coz anakupa depth, anakaba yaani box to box midfield, huku fab anakupa option moja tu ya "pass za mwisho", sasa kwa viungo kama "dembele+wanyama+delle alli+eriksen"-fab atazidiwa sana, na hapo ndo umuhimu wa matic unaonekana, na conte analijua hilo ndo maana alimpumzisha matic match against stoke city, akijua leo ana kazi ngumu na spurz.Faby ni mzuri sn lkn km ataanza basi tunatakiwa kacheza kwa kujilinda maana Faby hana nguvu sn na itafanya kuelemewa. Lkn km wataanza Matic na Kante hili jukumu la ukabaji na kupandisha timu litafanywa na wote hawa wawili.
Long passes zinaweza kupigwa na back line yetu wote wale 3. Nimeona Azplicueter anapiga passes km za Faby na Luiz na yeye na Alonso pia. Na Cahill naye anachungulia siku hizi. So Faby aanzie benchi kwanza